Posted on: June 19th, 2017
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais TAMISEMI Mhe. George Simbachawene leo tarehe 19/6/2017 amebatilisha Maeneo ya Kiutawala ya Halmashauri ya Wilaya ya Bunda na Halmashauri ya Mji wa Bunda. Mhe. Simbachawen...
Posted on: June 12th, 2017
Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OR-TAMISEMI) kwa kushirikiana na Kampuni ya Abt Associates Inc. inayotekelza mradi wa Uimarishaji wa Sekta za Umma nchini Tanzania (PS3) inaendelea...
Posted on: June 4th, 2017
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe, Samia Suluhu Hassan amehutubia mamia ya wananchi waliojitokeza katika kilele cha maadhimisho ya Siku ya Mazingira Kitaifa, Butiama Mkoani Mara.&...