Idara ya Afya
Utangulizi.
Huduma za afya katika Halmashauri ya Wilaya ya Bunda hutolewa kwa ushirikiano kati ya Serikali na wadau wengine kwa maana ya watu na mashirika chini ya Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya zikisimamiwa na Ofisi ya Mganga Mkuu wa Halmashauri ya Wilaya.
Baadhi ya Majukumu ya Idara ni kama ifuatavyo.:
Kilimani Street
Anuani ya Posta: 126, Bunda
Simu: 0677002976
Hamishika: 0783669938
Barua Pepe: ded@bundadc.go.tz
Haki Miliki@ 2017 Halmashauri ya Wilaya ya Bunda