Posted on: May 8th, 2024
Kamati ya Fedha, Uongozi na Mipango (FUM) siku ya tarehe 6/5/2024 ilifanya ziara ya kutembelea na kukagua ukamilishaji wa maabara ya Kemia katika shule ya sekondari Kwiramba, ambayo imejengwa na fedha...
Posted on: May 7th, 2024
Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Bunda, Ndugu George S. Mbilinyi siku ya tarehe 4/5/2024 alifanya mkutano na wananchi wa kijiji cha Kurusanga, kilichopo Kata ya Salama katika Halmashaur...
Posted on: May 6th, 2024
Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Bunda, Ndugu George S. Mbilinyi ameendelea na ziara yake ya kutembelea na kukagua miradi ya maendeleo ya ujenzi iliyopo katika Jimbo la Bunda.
...