• Malalamiko |
    • Maswali |
    • Barua Pepe |
Bunda District Council
Bunda District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais - Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Bunda

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Kilimo, Umwagiliaji & Ushirika
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Maji
      • Fedha & Biashara
      • Ujenzi
      • Afya
      • Mifugo & Uvuvi
      • Elimu Sekondari
      • Rasilimali Watu
      • Maendeleo ya Jamii
      • Usafi & Mazingira
      • Elimu Msingi
      • Ardhi na Maliasili
    • Vitengo
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Ufugaji Nyuki
      • Uchaguzi
      • Manunuzi
  • Huduma Zetu
    • Maji
    • Elimu Msingi
    • Barabara
    • Mifugo
    • Afya
    • Mazao ya kilimo
  • Fursa za Uwekezaji
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha, Uongozi & Mipango
      • Elimu, Afya & Maji
      • AIDS Control
      • Maadili
    • Ratiba
  • Miradi
    • Itakayotekelezwa
    • Inayoendelea
    • Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taarifa
    • Sheria Ndogo
    • Fomu Mbalimbali
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Uma
    • Video
    • Hifadhi ya Picha
    • Habari
    • Matukio

Planning, Statistics and Monitoring

Idara ya Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji.

Utangulizi:

Idara ya Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji inashughulikia uratibu, usimamizi na ufuatiliaji wa miradi ya maendeleo katika Halmashauri, pia inahusika na Tafiti na ukusanyaji wa Takwimu pamoja na kuratibu shughuli za Uwekezaji. Idara hii inaongozwa na Afisa Mipango Wilaya na imegawanyika katika sehemu tatu kama ifuatavyo:-

Mipango na Sera

Majukumu ya Sehemu hii ni kama ifuatavyo:

  • Kusimamia Uandaaji wa mpango wa utekelezaji wa Ilani ya uchaguzi kila mwaka.
  • Kuratibu na kutayarisha  Mipango shirikishi katika Kata zote za Halmashauri kupitia Mfumo wa O&OD.
  • Kuratibu na kutayarisha  Mpango na Bajeti ya Halmashauri kila Mwaka.
  • Kusimamia uandaaji wa Mpango Kazi (Action Plan) baada ya bajeti kila mwaka.
  • Kuratibu uandaaji wa maandiko ya miradi mbalimbali ya maendeleo.
  • Kuandaa Mpango Mkakati wa Halmashauri (Council Strategic Plan)
  • Kuandaa taarifa ya  utekelezaji wa Mpango wa Matokeo Makubwa sasa (BRN)
  • Kuratibu uandaaji wa taarifa mbalimbali za Halmashauri pamoja na utekelezaji wa maagizo mbalimbali ya Viongozi.
  • Kuandaa mapitio ya bajeti ya kila mwaka baada ya kipindi cha nusu mwaka.
  • Kuandaa taarifa za Mafanikio za Serikali iliyoko madarakani

Utafiti na Takwimu

Majukumu ya Sehemu hii ni kama ifuatavyo:

  • Kusimamia na kuboresha Benki ya Takwimu (Statistical Database).
  • Kuandaa na kuhuisha Wasifu wa Halmashauri (Council Profile)
  • Kufanya tathmini ya Utekelezaji wa Mpango Mkakati wa Halmashauri.
  • Kuratibu zoezi la Sensa ya Watu na Makazi.

Ufuatiliaji na Tathmini ya Miradi ya Maendeleo.

Majukumu ya Sehemu hii ni kama ifuatavyo:

  • Kufuatilia utekelezaji miradi na matumizi ya fedha za miradi.
  • Kuandaa Taarifa za Utekelezaji Miradi za kila robo mwaka.
  • Kuandaa taarifa za kila wiki za matukio ya Kiuchumi na Kijamii.

Matangazo

  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI January 20, 2023
  • MKOPO WA WATUMISHI,2022/2023 August 28, 2022
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI December 13, 2022
  • TANGAZO LA MKOPO KWA WATUMISHI WA HALMASHAURI YA WILAYA YA BUNDa November 05, 2021
  • Angalia zote

Habari Mpya

  • TANGAZO KWA UMMA

    August 28, 2022
  • HALMASHAURI YA WILAYA YA BUNDA YAVUNJA REKODI MAKUSANYO YA MAPATO YA NDANI KWA MWAKA WA FEDHA 2021/2022

    August 03, 2022
  • Halmashauri ya Wilaya ya Bunda yakabidhi vyumba vya madarasa 87 kwa Mkuu wa Mkoa wa Mara

    January 22, 2022
  • Ziara ya Mkuu wa Mkoa wa Mara Mhe.Ally Hapi Halmashauri ya Wilaya ya Bunda

    January 22, 2022
  • Angalia zote

Video

Mvamizi wa eneo la soko.
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Baraza la Madiwani
  • Dira na Dhamira
  • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
  • Mpango Mkakati
  • Mpango wa Uwekezaji Sekta ya Samaki
  • Muundo wa Taasisi
  • OPRAS - Form

Viunganishi Muambata

  • Matokeo ya Darasa la Saba 2020 Bundadc
  • Matokeo ya darasa la saba
  • Matokeo ya darasa la saba
  • PO-RALG
  • PO-PSM
  • Matokeo ya Kidato cha Nne 2019

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Wasiliana Nasi

    Kilimani Street

    Anuani ya Posta: 126, Bunda

    Simu: 0677002976

    Hamishika: 0783669938

    Barua Pepe: ded@bundadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Haki Miliki@ 2017 Halmashauri ya Wilaya ya Bunda