Posted on: January 10th, 2020
Mkuu wa Wilaya yaBunda Mh Lydia Bupilipili amehamasisha wananchi wa Kata ya Nyamihyolo kujenga Shule ya Sekondari ambapo ujenzi huo utagharamiwa na nguvu za Wananchi wa Kata hiyo katika...
Posted on: December 25th, 2019
KATIKA kukabiliana na athari za mabadiliko ya tabianchi ikiwemo ukame unaosababisha upungufu wa chakula, Halmashauri ya Wilaya ya Bunda inakusudia kuanzisha mradi mkubwa wa kukabiliana na hali hiyo.
...
Posted on: December 17th, 2019
Wakulima na Wadau wengine wa kilimo Bunda wapata mafunzo ya kimkakati kuzuia upotevu wa Mazao
Na Nuru Ally, Bunda DC
KATIKA kuhakikisha wakulima wilayani Bunda,Mkoa wa Mara wanajengewa...