Posted on: November 1st, 2019
Mkuu wa Mkoa wa Mara Mh Adam Malima amefanya ziara katika halmashauri ya Wilaya ya Bunda na kukagua ujenzi wa barabara inayoanzia Bulamba mpaka Kisorya.
Ambapo alimsisitiza Mkandarasi k...
Posted on: July 13th, 2018
Halmashauri ya Wilaya ya Bunda imejiwekea mkakati wa kuwachukulia hatua kali za kisheria wale wote wanaovamia maeneo yaliyotengwa kwa ajili ya masoko. Mkakati huo umeelezwa na Mwenyekiti wa Halmashaur...
Posted on: April 25th, 2018
Mkuu wa Wilaya ya Bunda Mhe. Mwl. Lydia Bupilipili amezindua zoezi la utoaji wa chanjo ya kujikinga na ugonjwa hatari wa Saratani ya mlango wa kizazi. Uzinduzi huo umefanyika siku ya tarehe 23/4/2018 ...