Posted on: November 15th, 2023
Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Bunda, Bi Changwa M. Mkwazu alimkaribisha Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Bunda Mh. Charles Manumba kufungua Baraza la Kata lililofanyika siku ya...
Posted on: November 14th, 2023
Walimu Wakuu wa shule za msingi na Maafisa Elimu Kata wa Halmashauri ya Wilaya ya Bunda siku ya tarehe 10/11/2023 walipewa mafunzo ya kusimamia miradi mbalimbali ya maendeleo iliyopo katika Kata zao. ...
Posted on: November 13th, 2023
Halmashauri ya Wilaya ya Bunda ilipokea vitabu vya Kiada na Hadithi kwa shule za Sekondari na shule za Awali na Msingi kutoka Taasisi ya Elimu Tanzania (TET), ambapo jumla ya vitabu 371 kwa shul...