• Malalamiko |
    • Maswali |
    • Barua Pepe |
Bunda District Council
Bunda District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais - Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Bunda

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Kilimo, Umwagiliaji & Ushirika
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Maji
      • Fedha & Biashara
      • Ujenzi
      • Afya
      • Mifugo & Uvuvi
      • Elimu Sekondari
      • Rasilimali Watu
      • Maendeleo ya Jamii
      • Usafi & Mazingira
      • Elimu Msingi
      • Ardhi na Maliasili
    • Vitengo
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Ufugaji Nyuki
      • Uchaguzi
      • Manunuzi
  • Huduma Zetu
    • Maji
    • Elimu Msingi
    • Barabara
    • Mifugo
    • Afya
    • Mazao ya kilimo
  • Fursa za Uwekezaji
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha, Uongozi & Mipango
      • Elimu, Afya & Maji
      • AIDS Control
      • Maadili
    • Ratiba
  • Miradi
    • Itakayotekelezwa
    • Inayoendelea
    • Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taarifa
    • Sheria Ndogo
    • Fomu Mbalimbali
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Uma
    • Video
    • Hifadhi ya Picha
    • Habari
    • Matukio

TEHAMA

Albert J. Chuwa
Kaimu Mkuu wa Kitengo cha TEHAMA
MAJUKUMU YA KITENGO
Kitengo hiki kinatekeleza majukumu yaliyogawanyika katika sehemu kuu mbili:


1. HABARI NA UHUSIANO
  1. Kusimamia Sera, Sheria, Taratibu na miongozo inayotolewa na serikali juu ya uendeshaji wa Mifumo, Miundombinu na vifaa vya Habari na Mawasiliano katika Halmashauri Kutoa Matangazo yote ya Kazi na Miradi inayotekelezwa kwenye Halmashauri
  2. Kutoa Vijarida, Vipeperushi na Vitambulisho vya kazi kwa watumishi wa Halmashauri
  3. Kutangaza Vivutio vya utalii na Maeneo ya Uwekezaji ya Halmashauri kwenye Tovuti, Runinga, Magazeti na Redio Kupiga picha za Matukio mbalimbali yanayotokea katika Halmashauri na Kuyahidhi kwa ajili ya Kumbukumbu  za Halmashauri
  4. Kukusanya na Kuaandaa Habari za Halmashauri
  5. Kukusanya habari za Halmashauri zilizochapishwa kwenye Magazeti mbalimbali
  6. Kukusanya na kutunza habari za mtandaoni zinazoihusu Halmashauri kwa kutumia “Computer” Maalum.
  7. Kuboresha mahusiano kati ya Halmashauri, Waandishi wa Habari, Wananchi na Taasisi nyingine.


2. TEHAMA
  • Kusimamia Sera, Sheria, Taratibu na miongozo ya Kitengo inayotolewa na serikali juu ya uendeshaji wa Kitengo cha TEHAMA & Uhusiano
  • Kuandaa Mpango Mkakati kuhusu Teknolojia ya Habari na Mawasiliano,
  • Kuandaa Miongozo na taratibu kwa kuzingatia kwa matumizi salama ya Teknolojia ya Habari na Mawasiliano.
  • Kutengeneza mpango wa matengenezo(Preventive na maintenance plan) kwa kila mwaka
    wa fedha na kuutekeleza.
  • Kuishauri Mkurugenzi  juu ya ya masuala yanayohusiana na Teknolojia ya Habari na Mawasiliano na utekelezaji wa dhana ya serikali mtandao.
  • Kusimamia maendeleo ya Teknolojia ya Habari na Mawasiliano na utekelezaji wake kwa Halmashauri.
  • Kutoa na kuratibu msaada wa teknolojia ya habari kwa menejimenti ya Halmashauri.
  • Kusimamia na kuratibu kazi za taaluma ya TEHAMA zinazofanywa katika Vitengo na Idara nyingine.
  • Kutathimini, kuboresha na kusimamia Teknolojia ya Habari na Mawasiliano na usimamizi wa mifumo ya taarifa/habari iliyosimikwa/iliyowekwa kwenye halmashauri.
  • Kufanya tathimini ya mahitaji ya mafunzo juu ya usimamizi wa mifumo ya taarifa na teknolojia ya habari na mawasiliano na kuandaa mpango wa kujenga uwezo
  • Kufanya tathimini ya hatari/hasara zinazohusiana na miundombinu ya teknolojia ya habari na mawasiliano na mfumo wa usimamizi wa taarifa na namna ya kuthibiti.
  • Kutoa ushauri bora na viwango kwa vifaa vya TEHAMA vinanyo nunuliwa, kufungwa na vinanyotumika kulingana na viwango vilivyowekwa na Serikali
  • Kuandaa na kuisimamia sera ya TEHAMA
  • Kusimamia Tovuti ya Halmashauri


Matangazo

  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI January 20, 2023
  • MKOPO WA WATUMISHI,2022/2023 August 28, 2022
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI December 13, 2022
  • TANGAZO LA MKOPO KWA WATUMISHI WA HALMASHAURI YA WILAYA YA BUNDa November 05, 2021
  • Angalia zote

Habari Mpya

  • TANGAZO KWA UMMA

    August 28, 2022
  • HALMASHAURI YA WILAYA YA BUNDA YAVUNJA REKODI MAKUSANYO YA MAPATO YA NDANI KWA MWAKA WA FEDHA 2021/2022

    August 03, 2022
  • Halmashauri ya Wilaya ya Bunda yakabidhi vyumba vya madarasa 87 kwa Mkuu wa Mkoa wa Mara

    January 22, 2022
  • Ziara ya Mkuu wa Mkoa wa Mara Mhe.Ally Hapi Halmashauri ya Wilaya ya Bunda

    January 22, 2022
  • Angalia zote

Video

Mvamizi wa eneo la soko.
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Baraza la Madiwani
  • Dira na Dhamira
  • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
  • Mpango Mkakati
  • Mpango wa Uwekezaji Sekta ya Samaki
  • Muundo wa Taasisi
  • OPRAS - Form

Viunganishi Muambata

  • Matokeo ya Darasa la Saba 2020 Bundadc
  • Matokeo ya darasa la saba
  • Matokeo ya darasa la saba
  • PO-RALG
  • PO-PSM
  • Matokeo ya Kidato cha Nne 2019

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Wasiliana Nasi

    Kilimani Street

    Anuani ya Posta: 126, Bunda

    Simu: 0677002976

    Hamishika: 0783669938

    Barua Pepe: ded@bundadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Haki Miliki@ 2017 Halmashauri ya Wilaya ya Bunda