Idara ya Maendeleo ya Jamii.
Utangulizi.
Dhumuni la Idara ni kuleta mabadiliko katika Jamii kwa kushirikisha wananchi, Serikali na Mashirika yasiyo ya Kiserikali katika nyanja za kiuchumi, kijamii, na kiutamaduni.
Baadhi ya Majukumu ya Idara ni kama ifuatavyo:
Kilimani Street
Anuani ya Posta: 126, Bunda
Simu: 0677002976
Hamishika: 0783669938
Barua Pepe: ded@bundadc.go.tz
Haki Miliki@ 2017 Halmashauri ya Wilaya ya Bunda