Posted on: December 9th, 2024
Wilaya ya Bunda imeadhimisha sherehe za maadhimisho ya miaka 63 ya Uhuru wa Tanzania Bara, siku ya tarehe 9/12/2024,zilizofanyika katika ukumbi wa Malaika uliopo Bunda Mjini.
Katibu Tawala wa W...
Posted on: December 7th, 2024
Katika kikao cha kamati ya ushauri cha Wilaya ya Bunda kilichoongozwa na Katibu Tawala wa Wilaya ya Bunda NduguSalum Khalfani Mtelela siku ya tarehe 6/12/2024 ambaye alikuwa mwenyekiti wa kikao hicho ...
Posted on: December 1st, 2024
"Shirika la Rafiki SDO ni mradi unaoshughulika na watoto wanaoishi katika mazingira magumu na lengo kuu la mradi ni kutokomeza hali ya ukatili wa kijinsia na kwa Mkoa wa Mara wapo Halmashauri Saba". A...