Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri (W) ya Bunda anawatangazia Watanzania wenye sifa kuomba nafasi za kazi kumi na Saba (17) katika Halmashauri hii baada ya kupata kibali kutoka Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora.
Bofya hapa chini kwa maelezo zaidi:
Kibara Stoo.
Anuani ya Posta: 126, Bunda
Simu: 0282621055
Hamishika:
Barua Pepe: ded@bundadc.go.tz
Haki Miliki@ 2017 Halmashauri ya Wilaya ya Bunda