• Malalamiko |
    • Maswali |
    • Barua Pepe |
Bunda District Council
Bunda District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais - Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Bunda

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Kilimo, Umwagiliaji & Ushirika
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Maji
      • Fedha & Biashara
      • Ujenzi
      • Afya
      • Mifugo & Uvuvi
      • Elimu Sekondari
      • Rasilimali Watu
      • Maendeleo ya Jamii
      • Usafi & Mazingira
      • Elimu Msingi
      • Ardhi na Maliasili
    • Vitengo
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Ufugaji Nyuki
      • Uchaguzi
      • Manunuzi
  • Huduma Zetu
    • Maji
    • Elimu Msingi
    • Barabara
    • Mifugo
    • Afya
    • Mazao ya kilimo
  • Fursa za Uwekezaji
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha, Uongozi & Mipango
      • Elimu, Afya & Maji
      • AIDS Control
      • Maadili
    • Ratiba
  • Miradi
    • Itakayotekelezwa
    • Inayoendelea
    • Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taarifa
    • Sheria Ndogo
    • Fomu Mbalimbali
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Uma
    • Video
    • Hifadhi ya Picha
    • Habari
    • Matukio

Maendeleo ya Jamii

Idara ya Maendeleo ya Jamii.

Utangulizi.

Dhumuni la Idara ni kuleta mabadiliko katika Jamii kwa kushirikisha wananchi, Serikali na Mashirika yasiyo ya Kiserikali katika nyanja za kiuchumi, kijamii, na kiutamaduni.

Baadhi ya Majukumu ya Idara ni kama ifuatavyo:

  1. Kuratibu Mikopo ya Vikundi vya Vijana na Wanawake.
  2. Kubuni mbinu mbalimbali za kushirikisha wananchi katika mipango ya maendeleo.
  3. Kutoa huduma kwa wananchi kupitia jumuiya  na vikundi vya uzalishaji.
  4. Kuandaa mafunzo kwa viongozi wa wananchi na makundi mbalimbali katika Jamii.
  5. Kutekeleza sera za maendeleo ya wanawake na watoto katika kupiga vita umasikini na kuondoa suala la ajira kwa watoto.
  6. Kuratibu shughuli za usajili wa NGOs
  7. Kusimamia kwa karibu utendaji kazi wa mashirika yasiyo ya Serikali kwa kuzingatia mipango kazi iliyoainishwa baada ya kupata usajili.
  8. Kuelimisha jamii juu ya mbinu za kujikinga dhidi ya maambukizi mapya ya VVU kwa kutumia njia mbalimbali kama sanaa shirikishi, sinema, semina na warsha.
  9. Kuratibu na kusimamia huduma zote zinazolenga kuimarisha ndoa na familia kwa ustawi wa wanandoa na watoto.
  10. Kutoa elimu kwa vijana juu ya Stadi za kazi, Ujasiriamali na madhara ya utumiaji wa madawa ya kulevya.

Matangazo

  • KUITWA KWENYE USAHILI KWA NAFASI ZA UDEREVA May 07, 2025
  • TANGAZO LA MIKOPO September 26, 2024
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI September 18, 2024
  • TANGAZO KWA WATUMISHI WOTE December 20, 2024
  • Angalia zote

Habari Mpya

  • ROJECT ZAWADI YAIPIGA TAFU MASHINDANO YA UMITASHUMTA KATIKA HALMASHAURI YA WILAYA YA BUNDA

    April 07, 2025
  • WALIMU WA SHULE ZA SEKONDARI KATIKA HALMASHAURI YA WILAYA YA BUNDA WAPEWA TUZO NA ZAWADI .

    April 03, 2025
  • TIMU YA WATAALAMU WA TATHIMINI NA UFUATILIAJI WA MIRADI YA MAENDELEO WAFANYA ZIARA YA KUTEMBELEA NA KUKAGUA MIRADI

    March 27, 2025
  • MKUU WA WILAYA ATETA NA VIONGOZI WA HALMASHAURI NA WA TAASISI

    March 26, 2025
  • Angalia zote

Video

Mvamizi wa eneo la soko.
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Baraza la Madiwani
  • Dira na Dhamira
  • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
  • Mpango Mkakati
  • Mpango wa Uwekezaji Sekta ya Samaki
  • Muundo wa Taasisi
  • OPRAS - Form

Viunganishi Muambata

  • Matokeo ya Darasa la Saba 2023 Bundadc
  • Matokeo ya darasa la saba
  • Matokeo ya darasa la saba
  • PO-RALG
  • PO-PSM
  • Matokeo ya Kidato cha Nne 2019

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Wasiliana Nasi

    Kibara Stoo.

    Anuani ya Posta: 126, Bunda

    Simu: 0282621055

    Hamishika: 0742163056

    Barua Pepe: ded@bundadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Haki Miliki@ 2017 Halmashauri ya Wilaya ya Bunda