MKURUGENZI MTENDAJI WA HALMASHAURI YA WILAYA YA BUNDA ANATANGAZA UWEPO WA FEDHA KWA AJLI YA KUVIKOPESHA VIKUNDI VYA WANAWAKE, VIJANA NA WATU WENYE ULEMAVU, AMBAPO, JUMLA YA TSHS 200,000,000/= (MILLIONI MIA MBILI) ZIMETENGWA KATIKA ROBO YA PILI YA MWAKA WA FEDHA 2025/2026.
BOFYA HAPA CHINI KWA MAELEZO ZAIDI:
Kibara Stoo.
Anuani ya Posta: 126, Bunda
Simu: 0282621055
Hamishika:
Barua Pepe: ded@bundadc.go.tz
Haki Miliki@ 2017 Halmashauri ya Wilaya ya Bunda