• Malalamiko |
    • Maswali |
    • Barua Pepe |
Bunda District Council
Bunda District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais - Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Bunda

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Kilimo, Umwagiliaji & Ushirika
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Maji
      • Fedha & Biashara
      • Ujenzi
      • Afya
      • Mifugo & Uvuvi
      • Elimu Sekondari
      • Rasilimali Watu
      • Maendeleo ya Jamii
      • Usafi & Mazingira
      • Elimu Msingi
      • Ardhi na Maliasili
    • Vitengo
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Ufugaji Nyuki
      • Uchaguzi
      • Manunuzi
  • Huduma Zetu
    • Maji
    • Elimu Msingi
    • Barabara
    • Mifugo
    • Afya
    • Mazao ya kilimo
  • Fursa za Uwekezaji
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha, Uongozi & Mipango
      • Elimu, Afya & Maji
      • AIDS Control
      • Maadili
    • Ratiba
  • Miradi
    • Itakayotekelezwa
    • Inayoendelea
    • Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taarifa
    • Sheria Ndogo
    • Fomu Mbalimbali
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Uma
    • Video
    • Hifadhi ya Picha
    • Habari
    • Matukio

Livestock&Fisheries

Idara ya Mifugo na Uvuvi.

Utangulizi:

Ufugaji ni shughuli kuu ya pili ya kiuchumi katika Halmashauri ya Wilaya ya Bunda. Aidha, Mtindo wa Ufugaji unaotumika na jamii kubwa ya wafugaji katika Wilayaya Bunda ni ufugaji huria (100% free range system) na wanyama wafugwao kwa sehemu kubwa ni wa asili.

Baadhi ya Majukumu ya Idara ni kama ifuatavyo:

  1. Kutoa huduma ya tiba kwa mifugo na kutoa ushauri kwa wafugaji.
  2. Kutoa elimu na ushauri kwa jamii juu ya matumizi bora ya ardhi ikiwa ni pamoja na kutenga maeneo ya malisho ya mifugo na kuendelea kutunza malambo yaliopo.
  3. Kuboresha minada kama chanzo muhimu cha mapato kwa Halmashauri na wananchi kwa ujumla.
  4. Utambuzi Uchunguzi na uzuiaji kuenea kwa magonjwa ya mifugo.
  5. Usimamiaji na uendelezaji wa miradi mbalimbali ya ufugaji.
  6. Ukaguzi wa nyama.

Kitengo cha Uvuvi.

  1. Kutoa elimu ya ufugaji wa samaki kwa jamii na kuhamasisha uchimbaji wa mabwawa ya kufugia samaki.
  2. Kuanzisha na kusimamia Vikundi vya kusimamia na kuhifadhi rasilimali ya uvuvi ngazi ya mwalo (BMU).
  3. Kupambana na uvuvi haramu.
  4. Kusajili vyombo vya uvuvi.

Matangazo

  • KUITWA KWENYE USAHILI KWA NAFASI ZA UDEREVA May 07, 2025
  • TANGAZO LA MIKOPO September 26, 2024
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI September 18, 2024
  • TANGAZO KWA WATUMISHI WOTE December 20, 2024
  • Angalia zote

Habari Mpya

  • ROJECT ZAWADI YAIPIGA TAFU MASHINDANO YA UMITASHUMTA KATIKA HALMASHAURI YA WILAYA YA BUNDA

    April 07, 2025
  • WALIMU WA SHULE ZA SEKONDARI KATIKA HALMASHAURI YA WILAYA YA BUNDA WAPEWA TUZO NA ZAWADI .

    April 03, 2025
  • TIMU YA WATAALAMU WA TATHIMINI NA UFUATILIAJI WA MIRADI YA MAENDELEO WAFANYA ZIARA YA KUTEMBELEA NA KUKAGUA MIRADI

    March 27, 2025
  • MKUU WA WILAYA ATETA NA VIONGOZI WA HALMASHAURI NA WA TAASISI

    March 26, 2025
  • Angalia zote

Video

Mvamizi wa eneo la soko.
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Baraza la Madiwani
  • Dira na Dhamira
  • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
  • Mpango Mkakati
  • Mpango wa Uwekezaji Sekta ya Samaki
  • Muundo wa Taasisi
  • OPRAS - Form

Viunganishi Muambata

  • Matokeo ya Darasa la Saba 2023 Bundadc
  • Matokeo ya darasa la saba
  • Matokeo ya darasa la saba
  • PO-RALG
  • PO-PSM
  • Matokeo ya Kidato cha Nne 2019

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Wasiliana Nasi

    Kibara Stoo.

    Anuani ya Posta: 126, Bunda

    Simu: 0282621055

    Hamishika: 0742163056

    Barua Pepe: ded@bundadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Haki Miliki@ 2017 Halmashauri ya Wilaya ya Bunda