• Malalamiko |
    • Maswali |
    • Barua Pepe |
Bunda District Council
Bunda District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais - Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Bunda

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Kilimo, Umwagiliaji & Ushirika
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Maji
      • Fedha & Biashara
      • Ujenzi
      • Afya
      • Mifugo & Uvuvi
      • Elimu Sekondari
      • Rasilimali Watu
      • Maendeleo ya Jamii
      • Usafi & Mazingira
      • Elimu Msingi
      • Ardhi na Maliasili
    • Vitengo
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Ufugaji Nyuki
      • Uchaguzi
      • Manunuzi
  • Huduma Zetu
    • Maji
    • Elimu Msingi
    • Barabara
    • Mifugo
    • Afya
    • Mazao ya kilimo
  • Fursa za Uwekezaji
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha, Uongozi & Mipango
      • Elimu, Afya & Maji
      • AIDS Control
      • Maadili
    • Ratiba
  • Miradi
    • Itakayotekelezwa
    • Inayoendelea
    • Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taarifa
    • Sheria Ndogo
    • Fomu Mbalimbali
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Uma
    • Video
    • Hifadhi ya Picha
    • Habari
    • Matukio

MKOA WA MARA CHIMBUKO LA UANZISHWAJI WA MUONGOZO WA UTOAJI WA CHAKULA SHULENI KWA WANAFUNZI WA SHULE ZA MSINGI NCHINI.

Posted on: November 9th, 2024

Katibu Tawala wa Mkoa wa Mara Ndugu Gerald Kusaya ambaye alimuawakilisha Mkuu wa Mkoa wa Mara Kanali Evans Mtambi katika maonesho ya Mkoa ya utoaji wa huduma ya chakula na lishe shuleni yaliyofanyika katika Wilaya ya Rorya siku ya tarehe 8/11/2024.

Ndugu Kusaya alisema, Leo hii nipo hapa kwa ajili ya kushuhudia maonesho haya ya utoaji wa huduma na lishe shuleni ambapo nimeweza kutembelea na kukagua Stoo ya kuhifadhia chakula shuleni, bustani za mbogamboga na shamba la shule, pia nimeweza kutembelea na kukagua mabanda mbalimbali yaliyopa uwanjani hapa ambapo nimeweza kupata elimu ya lishe na kuona namna gani Halmashauri zetu zinazingatia utoaji wa chakula na lishe kwa wanafunzi wa shule zetu.







" Bado tunachangamoto katika utoaji wa chakula shuleni kwa kiasi kikubwa kwani hadi sasa jumla ya shule za msingi 190 na shule 6 za Sekondari hazitoi kabisa chakula shuleni, ambapo 52% ya shule za msingi ndizo zinatoa chakula na 54%kwa shule za Sekondari zinatoa chakula, hivyo tunalo jukumu kubwa kwa ajili ya kuendelea kutoa elimu na kuhamasisha wazazi, jamii na wadau kuendelea kuchangia chakula shuleni." Alisema.




Ndugu Kusaya alisema tumekuwa tukishirikiana na wadau mbalimbali katika kuhamasisha utoaji wa huduma ya chakula kwa wanafunzi shuleni hivyo kupelekea Mkoa wetu wa Mara kuwa wa kwanza katika uanzishwa wa muongozo wa utoaji wa chakula shuleni  ambapo, muongozo huo ulianzishwa kutokana na kuwepo wa mradi uliokuwa unahamasisha utoaji wa chakula shuleni uliojulikana kwa jina la " Chakula kwa Elimu"  na ulitekelezwa na shirika la " Project Concerning International" kuanzia mwaka 2011 hadi 2020, hivyo Mkoa wetu wa Mara unapaswa kujisifu kuwa Mkoa wa kwanza kwa utoaji wa chakula shuleni.

" Nitoe wito kwa wenzetu wadau wanaopenda kutusaidia katika utoaji wa huduma ya chakula shuleni kuhakikisha wananunua chakula ndani ya nchi  na sio kutuletea kutoka nje ya nchi" Alisema.

Ndugu Kusaya alisema lengo la Mkuu wa Mkoa wa Mara ni kuona shule zote za serikali na binafsi, za msingi na Sekondari zinatoa chakula ifikapo Januari, 2025.

Hata hivyo vyeti vya heshima vilitolewa kwa shule zinazo toa chakula kwa wanafunzi kwa asilimia miamoja(100%).



“Utoaji wa Chakula shuleni ni jambo la lazima,pamoja tuwalishe watoto wetu”


Matangazo

  • KUITWA KWENYE USAHILI KWA NAFASI ZA UDEREVA May 07, 2025
  • TANGAZO LA MIKOPO September 26, 2024
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI September 18, 2024
  • TANGAZO KWA WATUMISHI WOTE December 20, 2024
  • Angalia zote

Habari Mpya

  • VIKUNDI VYA WANAWAKE, VIJANA NA WATU WENYE ULEMAVU VYATEMBELEWA NA KUKAGULIWA NA KAMATI YA MIKOPO NGAZI YA HALMASHAURI

    April 26, 2025
  • WATUMISHI WA HALMASHAURI YA WILAYA YA BUNDA WAHITIMISHA MAFUNZO YA SIKU 5 YA UANDAAJI NA UTENGENEZAJI WA MPANGO MKAKATI

    April 25, 2025
  • PROJECT ZAWADI YAIPIGA TAFU MASHINDANO YA UMITASHUMTA KATIKA HALMASHAURI YA WILAYA YA BUNDA

    April 07, 2025
  • WALIMU WA SHULE ZA SEKONDARI KATIKA HALMASHAURI YA WILAYA YA BUNDA WAPEWA TUZO NA ZAWADI .

    April 03, 2025
  • Angalia zote

Video

Mvamizi wa eneo la soko.
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Baraza la Madiwani
  • Dira na Dhamira
  • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
  • Mpango Mkakati
  • Mpango wa Uwekezaji Sekta ya Samaki
  • Muundo wa Taasisi
  • OPRAS - Form

Viunganishi Muambata

  • Matokeo ya Darasa la Saba 2023 Bundadc
  • Matokeo ya darasa la saba
  • Matokeo ya darasa la saba
  • PO-RALG
  • PO-PSM
  • Matokeo ya Kidato cha Nne 2019

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Wasiliana Nasi

    Kibara Stoo.

    Anuani ya Posta: 126, Bunda

    Simu: 0282621055

    Hamishika: 0742163056

    Barua Pepe: ded@bundadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Haki Miliki@ 2017 Halmashauri ya Wilaya ya Bunda