Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Bunda anawatangazia watu waliofanya usaili wa nafasi ya Ukatibu Muhtasi na kukidhi vigezo kuripoti kazini kama barua inavyojieleza. Kwa taarifa zaidi bofya hapa TANGAZO LA KUITWA KAZINI
Kibara Stoo.
Anuani ya Posta: 126, Bunda
Simu: 0282621055
Hamishika: 0742163056
Barua Pepe: ded@bundadc.go.tz
Haki Miliki@ 2017 Halmashauri ya Wilaya ya Bunda