Mkuu wa Mkoa wa Mara Mhe.Ally Hapi akikagua ujenzi wa vyumba vya madarasa katika sekondari ya makongoro Novemba30,2021
Mkuu wa Mkoa wa Mara Mhe Ally Hapi akizungumza na kamati za ujenzi mara baada yakukagua ujenzi wa vyumba madarasa shule ya Makongoro Novemba 30,2021.