• Malalamiko |
    • Maswali |
    • Barua Pepe |
Bunda District Council
Bunda District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais - Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Bunda

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Kilimo, Umwagiliaji & Ushirika
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Maji
      • Fedha & Biashara
      • Ujenzi
      • Afya
      • Mifugo & Uvuvi
      • Elimu Sekondari
      • Rasilimali Watu
      • Maendeleo ya Jamii
      • Usafi & Mazingira
      • Elimu Msingi
      • Ardhi na Maliasili
    • Vitengo
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Ufugaji Nyuki
      • Uchaguzi
      • Manunuzi
  • Huduma Zetu
    • Maji
    • Elimu Msingi
    • Barabara
    • Mifugo
    • Afya
    • Mazao ya kilimo
  • Fursa za Uwekezaji
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha, Uongozi & Mipango
      • Elimu, Afya & Maji
      • AIDS Control
      • Maadili
    • Ratiba
  • Miradi
    • Itakayotekelezwa
    • Inayoendelea
    • Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taarifa
    • Sheria Ndogo
    • Fomu Mbalimbali
    • Mpango Mkakati
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Uma
    • Video
    • Hifadhi ya Picha
    • Habari
    • Matukio

Wiki ya Elimu yaadhimishwa Wilayani Bunda

Posted on: October 13th, 2017

Wiki ya Elimu kwa Mwaka 2017 imeadhimishwa Mkoani Mara katika Wilaya ya Bunda ambapo Wanafunzi toka Halmashauri zote 9 za Mkoa wa Mara walijumuika pamoja katika kuadhimisha siku hiyo. Wanafunzi hao waliambatana na Viongozi mbalimbali toka katika halmashauri zao ikiwa ni pamoja na Wakurugenzi Watendaji, Maafisa Elimu na Wadua mbali mbali wa Elimu katika halmashauri hizo. Pia, timu ya uratibu toka ngazi ya mkoa ilishiriki kikamilifu ikiongozwa na Afisa Elimu Mkoa wa Mara. Jumbe mbalimbali toka kwa Wanafunzi hao ziliwasilishwa kupitia Ngonjera, Nyimbo, Mashairi, nk na kupokelewa na Mgeni rasmi na wadau mbalimbali wa Elimu kwa ajili ya kufanyiwa kazi.

Kaulimbiu ya maadhimisho hayo ilikuwa ni "Inua Stadi za Kusoma, Kuandika na Kuhesabu, Jenga Uchumi wa Kati Mkoa wa Mara" ambapo kauli mbiu hiyo ilikuwa inaunga mkono juhudi za Rais katika kuhakikisha kuwa Taifa linakuwa na Wasomi watakaosaidia Taifa kufikia uchumi wa Kati.

Mgeni rasmi katika maadhimisho hayo alikuwa Mkuu wa Mkoa wa Mara Dr. Charles Mlingwa ambaye kutokana na kubanwa na majukumu mengine aliwakilishwa na Mkuu wa Wilaya ya Bunda Ndg. Lidya Bupilipili. Pamoja na mambo mengine, hotuba ya Mgeni rasmi ilisisitiza juu ya Walimu kujituma zaidi katika kuwasaidia Wanafunzi wao kielimu na Wanafunzi pia kutakiwa kujifunza kwa bidii ili kufikia malengo ya kitaifa ya elimu bora kwa wote. Wazazi nao hawakuachwa nyuma katika kuhakikisha kuwa wanawapeleka watoto wao shule, kuwasimamia na kuhakikisha kuwa muda mwingi unatumiwa shuleni badala ya kufanya shughuli za nyumbani na hivyo kuwanyima watoto muda na ari ya kuzingatia masomo shuleni.

Maadhimisho hayo pia yalihusisha Wadau muhimu wa Elimu mkoani Mara ambao ni pamoja na PCI, Right to Play, nk.

Matangazo

  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI - WATENDAJI WA VIJIJI (NAFASI 37) March 26, 2018
  • KUONGEZWA KWA SIKU ZA MINADA March 29, 2018
  • Mapokezi ya Fedha za OC kwa Mwezi Desemba, 2017 January 17, 2018
  • Mapokezi ya Fedha kwa Matumizi Mengineyo (OC), Mwezi Oktoba 2017 November 10, 2017
  • Angalia zote

Habari Mpya

  • HALMASHAURI YAAGIZWA KUANDAA MPANGO WA MATUMIZI BORA YA ARDHI

    February 24, 2018
  • Waziri Mkuu Ndg. Kassim Majaliwa afanya Ziara Wilayani Bunda

    January 19, 2018
  • WATUMISHI WA HALMASHAURI WASHIRIKI KATIKA SIKU YA MAZOEZI KITAIFA

    December 09, 2017
  • MIRADI YA VYOO NA MATANKI YA KUVUNIA MAJI YANZINDULIWA WILAYANI BUNDA

    December 07, 2017
  • Angalia zote

Video

Mkuu Mpya wa Mkoa wa Mara Akijitambulisha Wilayani Bunda
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Muundo wa Taasisi
  • Mpango Mkakati
  • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
  • OPRAS - Form
  • Dira na Dhamira
  • Mpango wa Uwekezaji Sekta ya Samaki

Viunganishi Muambata

  • Mara Secretariet
  • PO-RALG
  • PO-PSM
  • Sekretarieti ya Ajira
  • PSPF
  • LAPF

World visitors tracker

world map hits counter

Wasiliana Nasi

    Kilimani Street

    Anuani ya Posta: 126, Bunda

    Simu: 0677002976

    Hamishika: 0783669938

    Barua Pepe: ded@bundadc.go.tz

Other Contacts

   

Visitors Counter

writingMasterThesis

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Haki Miliki@ 2017 Halmashauri ya Wilaya ya Bunda