• Malalamiko |
    • Maswali |
    • Barua Pepe |
Bunda District Council
Bunda District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais - Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Bunda

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Kilimo, Umwagiliaji & Ushirika
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Maji
      • Fedha & Biashara
      • Ujenzi
      • Afya
      • Mifugo & Uvuvi
      • Elimu Sekondari
      • Rasilimali Watu
      • Maendeleo ya Jamii
      • Usafi & Mazingira
      • Elimu Msingi
      • Ardhi na Maliasili
    • Vitengo
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Ufugaji Nyuki
      • Uchaguzi
      • Manunuzi
  • Huduma Zetu
    • Maji
    • Elimu Msingi
    • Barabara
    • Mifugo
    • Afya
    • Mazao ya kilimo
  • Fursa za Uwekezaji
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha, Uongozi & Mipango
      • Elimu, Afya & Maji
      • AIDS Control
      • Maadili
    • Ratiba
  • Miradi
    • Itakayotekelezwa
    • Inayoendelea
    • Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taarifa
    • Sheria Ndogo
    • Fomu Mbalimbali
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Uma
    • Video
    • Hifadhi ya Picha
    • Habari
    • Matukio

WALIMU WAKUU WATWAA UBINGWA WA BAO 2-1 DHIDI YA WATUMISHI WA MAKAO MAKUU, KATIKA HALMASHAURI YA WILAYA YA BUNDA

Posted on: July 15th, 2024

Walimu Wakuu wa Halmashauri ya Wilaya ya Bunda watwaa ubingwa wa bao 2-1 dhidi ya Watumishi wa Makao Makuu, katika mechi iliyochezwa siku ya tarehe 13/7/2024 katika uwanja wa shule ya msingi Mwibara.

Katika mechi hiyo Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Bunda Ndugu George S. Mbilinyi ambaye,alikuwa mgeni rasmi katika mechi hiyo alizipongeza timu zote mbili kwa kuweza kushiriki mechi, ikiwa ni kwa ajili ya kujenga ushirikiano na mahusiano mazuri baina ya watumishi wote wa Halmashauri ya Wilaya ya Bunda.

Ndugu Mbilinyi alisema, nimefurahi sana leo mbali ya kuwa mgeni rasmi katika mechi hii pia, nitashiriki katika kulisakata kabumbu, michezo ni afya na ni ajira, hivyo inatubidi tuongeze juhudi zaidi katika kufanya mazoezi ya mara kwa mara.

Mgeni rasmi alimuagiza Afisa Michezo, Utamaduni na Sanaa wa Halmashauri ya Wilaya ya Bunda Ndugu Eustace C. Kabwogi kuhakikisha anaandaa mechi kama hizi mara kwa mara kwani zinaongeza mahusiano na ushirikiano baina ya watumishi.


“Leo isiwe mwisho kwa mechi hizi hakikisha kipindi kinachokuja unaandaa mechi nyingine baina ya watumishi wote na wananchi wa kawaida ili tuweze kuendeleza na kujenga mahusiano na ushirikiano mzuri baina ya jamii inayotuzunguka.” Alisema Ndugu Mbilinyi.

Timu ya Watumishi wa Makao Makuu


Timu ya Walimu Wakuu

Mwalimu Rodrick Francis kutoka shule ya sekondari Mwibara aliweza kuipatia timu yake ya walimu Wakuu bao la kwanza katika dakika ya pili, kipindi cha kwanza, huku goli la pili likifungwa na mwalimu Isack Sore wa shule ya msingi Ibwagalilo katika kipindi cha pili, dakika ya 87.

Kwa upande wa timu ya Watumishi wa Makao makuu, Ndugu Phinius Ouko aliipatia timu yake ushindi kwa kufunga goli moja, katika kipindi cha kwanza, dakika ya 38.


Matangazo

  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI September 07, 2025
  • TANGAZO LA MIKOPO September 26, 2024
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI September 18, 2024
  • TANGAZO KWA WATUMISHI WOTE December 20, 2024
  • Angalia zote

Habari Mpya

  • WATENDAJI KATA NA MIJI WAAGIZWA KUENDELEA KUWEKA MSISITIZO KATIKA UHAMASISHAJI WA UCHANGIAJI WA CHAKULA SHULENI

    September 09, 2025
  • HALMASHAURI YAADHIMISHA JUMA LA ELIMU YA WATU WAZIMA NA ELIMU NJE YA MFUMO RASMI

    September 05, 2025
  • ELIMU IENDELEE KUTOLEWA KWA WANANCHI KULA VYAKULA VYENYE LISHE ILI KUPUNGUZA UTAPIAMLO

    September 05, 2025
  • TMDA WATOA ELIMU KWA WATUMISHI WA AFYA JUU YA UTOAJI WA TAARIFA ZA MADHARA NA MATUKIO YA VIFAA TIBA NA VITENDANISHI.

    August 26, 2025
  • Angalia zote

Video

Mvamizi wa eneo la soko.
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Baraza la Madiwani
  • Dira na Dhamira
  • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
  • Mpango Mkakati
  • Mpango wa Uwekezaji Sekta ya Samaki
  • Muundo wa Taasisi
  • OPRAS - Form

Viunganishi Muambata

  • Matokeo ya Darasa la Saba 2023 Bundadc
  • Matokeo ya darasa la saba
  • Matokeo ya darasa la saba
  • PO-RALG
  • PO-PSM
  • Matokeo ya Kidato cha Nne 2019

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Wasiliana Nasi

    Kibara Stoo.

    Anuani ya Posta: 126, Bunda

    Simu: 0282621055

    Hamishika:

    Barua Pepe: ded@bundadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Haki Miliki@ 2017 Halmashauri ya Wilaya ya Bunda