• Malalamiko |
    • Maswali |
    • Barua Pepe |
Bunda District Council
Bunda District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais - Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Bunda

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Kilimo, Umwagiliaji & Ushirika
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Maji
      • Fedha & Biashara
      • Ujenzi
      • Afya
      • Mifugo & Uvuvi
      • Elimu Sekondari
      • Rasilimali Watu
      • Maendeleo ya Jamii
      • Usafi & Mazingira
      • Elimu Msingi
      • Ardhi na Maliasili
    • Vitengo
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Ufugaji Nyuki
      • Uchaguzi
      • Manunuzi
  • Huduma Zetu
    • Maji
    • Elimu Msingi
    • Barabara
    • Mifugo
    • Afya
    • Mazao ya kilimo
  • Fursa za Uwekezaji
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha, Uongozi & Mipango
      • Elimu, Afya & Maji
      • AIDS Control
      • Maadili
    • Ratiba
  • Miradi
    • Itakayotekelezwa
    • Inayoendelea
    • Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taarifa
    • Sheria Ndogo
    • Fomu Mbalimbali
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Uma
    • Video
    • Hifadhi ya Picha
    • Habari
    • Matukio

Mafunzo ya Mifumo ya PLANREP na FFARS yafanyika Bunda

Posted on: September 21st, 2017

Mafunzo ya kuwajengea uelewa Watalaamu wa sekta mbalimbali namna ya kuandaa Mipango, Bajeti, Usimamizi wa Fedha na Utoaji wa Taarifa kupitia mifumo ya PLANREP na FFARS katika halmashauri ya Wilaya ya Bunda yameanza leo katika ukumbi wa halmashauri ambapo takribani washiriki 40 walihudhuria mafunzo hayo. Mafunzo haya yamelenga kutambulisha mfumo ulioboreshwa wa mipango na bajeti wa PLANREP na mfumo mpya wa FFARS ambao utatumika kusimamia matumizi ya fedha na utoaji wa taarifa katika vituo vya kutolea huduma katika sekta za Afya na Elimu.

Akizindua mafunzo hayo, Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Bunda kupitia kwa Mwakilishi wake alisisitiza umuhimu wa mafunzo hayo kwa Washiriki ambao pia ni Wakuu wa Idara na Wasaidizi wao kuzingatia mafunzo hayo yatakayofanyika kwa siku 5 ili kupata uelewa unaotakiwa na hivyo kuwa na uwezo wa kutumia mifumo hiyo kwa ufanisi. Mafunzo hayo ni muendelezo wa mafunzo ya aina hiyo yaliyofanyika Mkoani Mwanza na yanafadhiliwa na mradi wa PS3 kwa kushirikiana na Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OR-TAMISEMI). 

Wakati mafunzo hayo yakiendelea, timu ya Wawezeshaji ngazi ya Taifa na Mkoa wa Mara ilifika kuona namna mafunzo yalivyokuwa yakifanyika na kuwapongeza Wawezeshaji pamoja na Washiriki  kwa namna walivyojipanga kufanikisha zoezi hilo. Pamoja na mambo mengine, timu hiyo ilitatua na kutoa ufafanuzi kwa baadhi ya changamoto zilizotolewa kwao na washiriki wa mafunzo hayo.


Matangazo

  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI September 07, 2025
  • TANGAZO LA MIKOPO September 26, 2024
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI September 18, 2024
  • TANGAZO KWA WATUMISHI WOTE December 20, 2024
  • Angalia zote

Habari Mpya

  • WATENDAJI KATA NA MIJI WAAGIZWA KUENDELEA KUWEKA MSISITIZO KATIKA UHAMASISHAJI WA UCHANGIAJI WA CHAKULA SHULENI

    September 09, 2025
  • HALMASHAURI YAADHIMISHA JUMA LA ELIMU YA WATU WAZIMA NA ELIMU NJE YA MFUMO RASMI

    September 05, 2025
  • ELIMU IENDELEE KUTOLEWA KWA WANANCHI KULA VYAKULA VYENYE LISHE ILI KUPUNGUZA UTAPIAMLO

    September 05, 2025
  • TMDA WATOA ELIMU KWA WATUMISHI WA AFYA JUU YA UTOAJI WA TAARIFA ZA MADHARA NA MATUKIO YA VIFAA TIBA NA VITENDANISHI.

    August 26, 2025
  • Angalia zote

Video

Mvamizi wa eneo la soko.
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Baraza la Madiwani
  • Dira na Dhamira
  • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
  • Mpango Mkakati
  • Mpango wa Uwekezaji Sekta ya Samaki
  • Muundo wa Taasisi
  • OPRAS - Form

Viunganishi Muambata

  • Matokeo ya Darasa la Saba 2023 Bundadc
  • Matokeo ya darasa la saba
  • Matokeo ya darasa la saba
  • PO-RALG
  • PO-PSM
  • Matokeo ya Kidato cha Nne 2019

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Wasiliana Nasi

    Kibara Stoo.

    Anuani ya Posta: 126, Bunda

    Simu: 0282621055

    Hamishika:

    Barua Pepe: ded@bundadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Haki Miliki@ 2017 Halmashauri ya Wilaya ya Bunda