Katibu Tawala wa Wilaya ya Bunda Ndugu Salum Mtelela siku ya tarehe 10/3/2025 amefanya kikao kazi na watumishi wa Halmashauri ya Wilaya ya Bunda pamoja na wakuu wa taasisi zilizopo katika Wilaya ya Bunda.
Lengo la kikao hicho ni kuongelea miradi mbalimbali ya Maendeleo inayoendelea kutekelezwa katika Halmashauri ya Wilaya ya Bunda.
Kibara Stoo.
Anuani ya Posta: 126, Bunda
Simu: 0282621055
Hamishika: 0742163056
Barua Pepe: ded@bundadc.go.tz
Haki Miliki@ 2017 Halmashauri ya Wilaya ya Bunda