• Malalamiko |
    • Maswali |
    • Barua Pepe |
Bunda District Council
Bunda District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais - Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Bunda

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Kilimo, Umwagiliaji & Ushirika
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Maji
      • Fedha & Biashara
      • Ujenzi
      • Afya
      • Mifugo & Uvuvi
      • Elimu Sekondari
      • Rasilimali Watu
      • Maendeleo ya Jamii
      • Usafi & Mazingira
      • Elimu Msingi
      • Ardhi na Maliasili
    • Vitengo
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Ufugaji Nyuki
      • Uchaguzi
      • Manunuzi
  • Huduma Zetu
    • Maji
    • Elimu Msingi
    • Barabara
    • Mifugo
    • Afya
    • Mazao ya kilimo
  • Fursa za Uwekezaji
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha, Uongozi & Mipango
      • Elimu, Afya & Maji
      • AIDS Control
      • Maadili
    • Ratiba
  • Miradi
    • Itakayotekelezwa
    • Inayoendelea
    • Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taarifa
    • Sheria Ndogo
    • Fomu Mbalimbali
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Uma
    • Video
    • Hifadhi ya Picha
    • Habari
    • Matukio

KAMATI YA HUDUMA ZA UCHUMI IMETEMBELEA NA KUKAGUA MIRADI YA MAENDELEO KATIKA HALMASHAURI YA WILAYA YA BUNDA.

Posted on: January 23rd, 2025

Kamati ya huduma za Uchumi   ikiongozwa   na Mwenyekiti wa kamati ambaye pia ni diwani wa kata ya Nampindi Mhe. Fedson Rwesunga pamoja na wataalamu mbalimbali wa Halmashauri ya Wilaya ya Bunda siku ya tarehe 23/1/2025, wamefanya ziara ya ukaguzi wa miradi ya Elimu ikiwa ni kufuatilia utekelezaji wa shughuli za maendeleo zinazotekelezwa na Halmashauri ya Wilaya ya Bunda kwa mwaka wa fedha 2024/2025.

Ziara hiyo ililenga kutembelea na kukagua miradi mbalimbali ya Elimu inayotekelezwa na Halmashauri ili kuona maendeleo ya miradi hiyo na namna itakavyo rahisisha huduma mbalimbali za elimu kwa jamii pindi itakapo kamilika.

Aidha,miradi iliyo tembelewa ni pamoja na ukamilishaji wa bweni la wasichana shule ya sekondari Nyamanguta na ujenzi  upo katika hatua za mwisho za ukamilishaji,ujenzi wa mabweni mawli na matundu 12 ya vyoo shule ya sekondari Hunyari na utekelezaji wa mradi ukiwa katika hatua ya upauaji,ujenzi wa ukuta na kumimina jamvi.

Pia, kamati ilitembelea na kukagua mradi wa ujenzi wa nyumba mbili za walimu (2 in 1) unaotekelezwa katika shule ya msingi Sabasita ambapo ujenzi upo katika hatua ya upauaji na na nyumba moja tayari imeezekwa.



Hata hivyo kamati ilihitimisha ziara yake kwa kutembelea na kukagua ujenzi wa shule mpya ya sekondari ya Amali Manchimweru pamoja na kukagua mradi wa nyumba ya walimu (2 in 1) na mradi huo upo katika hatua ya ujenzi wa boma.


Matangazo

  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI September 07, 2025
  • TANGAZO LA MIKOPO September 26, 2024
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI September 18, 2024
  • TANGAZO KWA WATUMISHI WOTE December 20, 2024
  • Angalia zote

Habari Mpya

  • WATENDAJI KATA NA MIJI WAAGIZWA KUENDELEA KUWEKA MSISITIZO KATIKA UHAMASISHAJI WA UCHANGIAJI WA CHAKULA SHULENI

    September 09, 2025
  • HALMASHAURI YAADHIMISHA JUMA LA ELIMU YA WATU WAZIMA NA ELIMU NJE YA MFUMO RASMI

    September 05, 2025
  • ELIMU IENDELEE KUTOLEWA KWA WANANCHI KULA VYAKULA VYENYE LISHE ILI KUPUNGUZA UTAPIAMLO

    September 05, 2025
  • TMDA WATOA ELIMU KWA WATUMISHI WA AFYA JUU YA UTOAJI WA TAARIFA ZA MADHARA NA MATUKIO YA VIFAA TIBA NA VITENDANISHI.

    August 26, 2025
  • Angalia zote

Video

Mvamizi wa eneo la soko.
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Baraza la Madiwani
  • Dira na Dhamira
  • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
  • Mpango Mkakati
  • Mpango wa Uwekezaji Sekta ya Samaki
  • Muundo wa Taasisi
  • OPRAS - Form

Viunganishi Muambata

  • Matokeo ya Darasa la Saba 2023 Bundadc
  • Matokeo ya darasa la saba
  • Matokeo ya darasa la saba
  • PO-RALG
  • PO-PSM
  • Matokeo ya Kidato cha Nne 2019

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Wasiliana Nasi

    Kibara Stoo.

    Anuani ya Posta: 126, Bunda

    Simu: 0282621055

    Hamishika:

    Barua Pepe: ded@bundadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Haki Miliki@ 2017 Halmashauri ya Wilaya ya Bunda