• Malalamiko |
    • Maswali |
    • Barua Pepe |
Bunda District Council
Bunda District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais - Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Bunda

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Kilimo, Umwagiliaji & Ushirika
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Maji
      • Fedha & Biashara
      • Ujenzi
      • Afya
      • Mifugo & Uvuvi
      • Elimu Sekondari
      • Rasilimali Watu
      • Maendeleo ya Jamii
      • Usafi & Mazingira
      • Elimu Msingi
      • Ardhi na Maliasili
    • Vitengo
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Ufugaji Nyuki
      • Uchaguzi
      • Manunuzi
  • Huduma Zetu
    • Maji
    • Elimu Msingi
    • Barabara
    • Mifugo
    • Afya
    • Mazao ya kilimo
  • Fursa za Uwekezaji
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha, Uongozi & Mipango
      • Elimu, Afya & Maji
      • AIDS Control
      • Maadili
    • Ratiba
  • Miradi
    • Itakayotekelezwa
    • Inayoendelea
    • Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taarifa
    • Sheria Ndogo
    • Fomu Mbalimbali
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Uma
    • Video
    • Hifadhi ya Picha
    • Habari
    • Matukio

Jukwaa la Wanawake Lazinduliwa Rasmi Wilayani Bunda

Posted on: July 20th, 2017

Mgeni rasmi katika uzinduzi wa Jukwaa la Wanawake Wilayani Bunda, Mhe. Lidya Bupilipili (Mkuu wa Wilaya ya Bunda) amezindua Jukwaa la Wanawake Wilayani hapa lenye lengo la kuwaunganisha Wanawake katika kujitambua, kutambua fursa zinazowazunguka, kujua namna ya kutumia fursa hizo katika kujiletea maendeleo endelevu na hivyo kuhakikisha kuwa malengo ya 50/50 yanatimia ifikapo 2030. 

Pamoja na mambo mengine, Jukwaa hili lilijikita zaidi katika kuwakutanisha wanawake ili waweze kujadiliana juu ya fursa za kiuchumi, changamoto zinazowakabili, kuongeza uelewa katika sekta ya uchumi, biashara, upatikanaji wa mitaji, uelewa wa sheria za nchi katika masuala yahusuyo uchumi na jinsi ya kujitegemea kiuchumi. Wajumbe wa jukwaa hilo walikuwa ni pamoja na: Watumishi wa Halmashauri na Taasisi zingine za umma, Taasisi za kijamii, Asasi za kidini, taasisi za kibiashara, Taasisi za kifedha na Wahisani wa nchi marafiki.

Jukwa hilo pia, liliweza kufanya uchaguzi wa viongozi wake ambao ni pamoja na Mwenyekiti, Makamu Mwenyekiti na Katibu wa Jukwaa. Uongozi huu utadumu kwa muda wa Miaka 3 ambapo halmashauri itakuwa na jukumu la kuhakikisha kuwa jukwaa linakutana kila baada ya miezi sita (6).


Matangazo

  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI September 07, 2025
  • TANGAZO LA MIKOPO September 26, 2024
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI September 18, 2024
  • TANGAZO KWA WATUMISHI WOTE December 20, 2024
  • Angalia zote

Habari Mpya

  • WATENDAJI KATA NA MIJI WAAGIZWA KUENDELEA KUWEKA MSISITIZO KATIKA UHAMASISHAJI WA UCHANGIAJI WA CHAKULA SHULENI

    September 09, 2025
  • HALMASHAURI YAADHIMISHA JUMA LA ELIMU YA WATU WAZIMA NA ELIMU NJE YA MFUMO RASMI

    September 05, 2025
  • ELIMU IENDELEE KUTOLEWA KWA WANANCHI KULA VYAKULA VYENYE LISHE ILI KUPUNGUZA UTAPIAMLO

    September 05, 2025
  • TMDA WATOA ELIMU KWA WATUMISHI WA AFYA JUU YA UTOAJI WA TAARIFA ZA MADHARA NA MATUKIO YA VIFAA TIBA NA VITENDANISHI.

    August 26, 2025
  • Angalia zote

Video

Mvamizi wa eneo la soko.
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Baraza la Madiwani
  • Dira na Dhamira
  • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
  • Mpango Mkakati
  • Mpango wa Uwekezaji Sekta ya Samaki
  • Muundo wa Taasisi
  • OPRAS - Form

Viunganishi Muambata

  • Matokeo ya Darasa la Saba 2023 Bundadc
  • Matokeo ya darasa la saba
  • Matokeo ya darasa la saba
  • PO-RALG
  • PO-PSM
  • Matokeo ya Kidato cha Nne 2019

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Wasiliana Nasi

    Kibara Stoo.

    Anuani ya Posta: 126, Bunda

    Simu: 0282621055

    Hamishika:

    Barua Pepe: ded@bundadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Haki Miliki@ 2017 Halmashauri ya Wilaya ya Bunda