• Malalamiko |
    • Maswali |
    • Barua Pepe |
Bunda District Council
Bunda District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais - Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Bunda

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Kilimo, Umwagiliaji & Ushirika
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Maji
      • Fedha & Biashara
      • Ujenzi
      • Afya
      • Mifugo & Uvuvi
      • Elimu Sekondari
      • Rasilimali Watu
      • Maendeleo ya Jamii
      • Usafi & Mazingira
      • Elimu Msingi
      • Ardhi na Maliasili
    • Vitengo
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Ufugaji Nyuki
      • Uchaguzi
      • Manunuzi
  • Huduma Zetu
    • Maji
    • Elimu Msingi
    • Barabara
    • Mifugo
    • Afya
    • Mazao ya kilimo
  • Fursa za Uwekezaji
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha, Uongozi & Mipango
      • Elimu, Afya & Maji
      • AIDS Control
      • Maadili
    • Ratiba
  • Miradi
    • Itakayotekelezwa
    • Inayoendelea
    • Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taarifa
    • Sheria Ndogo
    • Fomu Mbalimbali
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Uma
    • Video
    • Hifadhi ya Picha
    • Habari
    • Matukio

HALMASHAURI YA WILAYA YA BUNDA, YAPONGEZWA KWA UKAMILISHAJI WA JENGO LA MIONZI

Posted on: April 8th, 2024

Halmashauri ya Wilaya ya Bunda imepongezwa kwa ukamilisha wa jengo la mionzi katika Hospitali ya Wilaya, iliyopo katika kijiji cha Bukama, Kata ya Nyamuswa. Pongezi hizo zilitolewa na Mkurugenzi kutoka Ofisi ya Rais TAMISEMI, anayesimamia masuala ya Afya, Ustawi wa Jamii na Lishe, Daktari Rashid Mfaume siku ya tarehe 5/4/2024, wakati wa ziara yake ya kutembelea na kukagua miradi ya Afya inayotekelezwa katika Halmashauri ya Wilaya ya Bunda.

Daktari Mfaume alisema, kwa hili tunahaki ya kumpongeza Mh. Rais Dkt Samia Suluhu Hassan, kwa kutuletea vifaa vizuri na vya kisasa katika hospitali yetu ya Wilaya, na kutuletea fedha kwa ajili ya kujenga  jengo hili zuri la mionzi mahali hapa.

Ndugu Andrew Makaza, ambaye ni Mzee wa kijiji cha Bukama alimshukuru Mh. Rais kwa kuwezesha ujenzi wa jengo la mionzi na kuleta vifaa vya kisasa katika hospitali ya Wilaya kwani itawasaidia sana kuweza kupata matibabu karibu, tofauti na hapo awali huduma za mionzi walikuwa wanazifuata mbali na maeneo yao.

Naye, Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Bunda, Bw. George S. Mbilinyi alimshukuru Mkurugenzi wa OR-TAMISEMI, pamoja na msafara alioongozana nao kwa kuja kutembelea na kukagua hospitali, aliahidi kuzifanyia kazi changamoto zote zilizobainishwa wakati wa ziara akishirikiana na Menejimenti ya Halmashauri kuona ni namna gani wataziondoa changamoto hizo.

Matangazo

  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI September 07, 2025
  • TANGAZO LA MIKOPO September 26, 2024
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI September 18, 2024
  • TANGAZO KWA WATUMISHI WOTE December 20, 2024
  • Angalia zote

Habari Mpya

  • WATENDAJI KATA NA MIJI WAAGIZWA KUENDELEA KUWEKA MSISITIZO KATIKA UHAMASISHAJI WA UCHANGIAJI WA CHAKULA SHULENI

    September 09, 2025
  • HALMASHAURI YAADHIMISHA JUMA LA ELIMU YA WATU WAZIMA NA ELIMU NJE YA MFUMO RASMI

    September 05, 2025
  • ELIMU IENDELEE KUTOLEWA KWA WANANCHI KULA VYAKULA VYENYE LISHE ILI KUPUNGUZA UTAPIAMLO

    September 05, 2025
  • TMDA WATOA ELIMU KWA WATUMISHI WA AFYA JUU YA UTOAJI WA TAARIFA ZA MADHARA NA MATUKIO YA VIFAA TIBA NA VITENDANISHI.

    August 26, 2025
  • Angalia zote

Video

Mvamizi wa eneo la soko.
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Baraza la Madiwani
  • Dira na Dhamira
  • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
  • Mpango Mkakati
  • Mpango wa Uwekezaji Sekta ya Samaki
  • Muundo wa Taasisi
  • OPRAS - Form

Viunganishi Muambata

  • Matokeo ya Darasa la Saba 2023 Bundadc
  • Matokeo ya darasa la saba
  • Matokeo ya darasa la saba
  • PO-RALG
  • PO-PSM
  • Matokeo ya Kidato cha Nne 2019

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Wasiliana Nasi

    Kibara Stoo.

    Anuani ya Posta: 126, Bunda

    Simu: 0282621055

    Hamishika:

    Barua Pepe: ded@bundadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Haki Miliki@ 2017 Halmashauri ya Wilaya ya Bunda