Mkuu wa Wilaya ya Bunda, Mh. Aswege Enock Kaminyoge siku ya tarehe 23/8/2025 alipokea mwenge wa uhuru, kutoka kwa Mkuu wa Wilaya ya Serengeti.
Mh. Kaminyoge alisema, mwenge wa uhuru 2025 utakimbizwa kwa umbali wa km 235 kutoka eneo la mapokezi hadi utakapoenda kukesha, pia utatembelea, kuzindua, na kuweka JIWE la MSINGI katika miradi mitano ya Maendeleo yenye jumla ya thamani ya Tshs Billion 1.8.
" Jitokeze kushiriki Uchaguzi Mkuu, 2025 kwa Amani na Utulivu."
Kibara Stoo.
Anuani ya Posta: 126, Bunda
Simu: 0282621055
Hamishika:
Barua Pepe: ded@bundadc.go.tz
Haki Miliki@ 2017 Halmashauri ya Wilaya ya Bunda