Katika kuadhimisha wiki ya chanjo cha kichaa cha Mbwa duniani, halmashauri ya wilaya ya Bunda siku ya tarehe 28/9/2023, ilishiriki kilele cha maadhimisho ya kichaa cha Mbwa yaliyofanyika katika Kijiji cha Nambaza, kata ya Nansimo.
Afisa Mifugo wa halmashauri Bw. Fikiri Tendwa alisema, siku ya leo tumefanikiwa kuwachanja Mbwa 171 na Paka mmoja.
“Aliwashauri wananchi kuhakikisha wanawapeleka Wanyama wao hasa Mbwa na Paka kwenda kupatiwa chanjo mara kwa mara, kwani zoezi hili ni muhimu na kuwataka wananchi wawe wanashiriki kwa wingi zaidi maana ugonjwa wa kichaa cha mbwa ni hatari”. Alisema Bw. Tendwa.
Kibara Stoo.
Anuani ya Posta: 126, Bunda
Simu: 0282621055
Hamishika: 0742163056
Barua Pepe: ded@bundadc.go.tz
Haki Miliki@ 2017 Halmashauri ya Wilaya ya Bunda