• Malalamiko |
    • Maswali |
    • Barua Pepe |
Bunda District Council
Bunda District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais - Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Bunda

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Kilimo, Umwagiliaji & Ushirika
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Maji
      • Fedha & Biashara
      • Ujenzi
      • Afya
      • Mifugo & Uvuvi
      • Elimu Sekondari
      • Rasilimali Watu
      • Maendeleo ya Jamii
      • Usafi & Mazingira
      • Elimu Msingi
      • Ardhi na Maliasili
    • Vitengo
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Ufugaji Nyuki
      • Uchaguzi
      • Manunuzi
  • Huduma Zetu
    • Maji
    • Elimu Msingi
    • Barabara
    • Mifugo
    • Afya
    • Mazao ya kilimo
  • Fursa za Uwekezaji
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha, Uongozi & Mipango
      • Elimu, Afya & Maji
      • AIDS Control
      • Maadili
    • Ratiba
  • Miradi
    • Itakayotekelezwa
    • Inayoendelea
    • Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taarifa
    • Sheria Ndogo
    • Fomu Mbalimbali
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Uma
    • Video
    • Hifadhi ya Picha
    • Habari
    • Matukio

BANK YA NMB, BUNDA, IMETAMBULISHA HUDUMA ZAKE KWA WATUMISHI WA HALMASHAURI YA WILAYA YA BUNDA

Posted on: July 4th, 2024

Meneja wa Bank ya NMB tawi la Bunda Ndugu Fancis Kasili siku ya tarehe 3/7/2024 alitembelea Halmashauri ya Wilaya ya Bunda iliyopo Kibara Stoo na kufanya kikao na Menejimenti ya Halmashauri ya Wilaya ya Bunda.

Lengo la kikao hiki ni kwa ajili ya kutoa shukrani kwa ushirikiano mkubwa tuliokuwa nao kwa kipindi kirefu, maana bila ya nyie serikali, sisi hatuwezi kusonga mbele, tumekuwa tukishirikia katika kuleta maendeleo ya pamoja katika serikali hii.

Hivyo tumeona katika kuendeleza ushirikiano huu na kujenga mahusiano mazuri, tumekuja leo kutambulisha huduma mbalimbali zinazopatikana katika Bank kwa njia ya kidijitali pasipo kukutaka kufika Bank.

“Kupitia simu yako unaweza kupata huduma mbalimbali za Bank kama vile mkopo, bima, uundaji wa vikundi, unaweza kununua bonds za serikali na kujiwekea akiba yako mwenyewe bila ya kwenda tawi lolote la Bank”. Alisema Ndugu Kasili.

Ndugu Kasili alisema, tunawashukuru watumishi wote, pamoja na Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri kwa ushirikiano mkubwa sana mnaoendelea kutupatia.

Mbali na huduma hizi pia, Bank ya NMB tunataka kujenga tawi lingine Kibara, katika jengo hili la utawala ili tuweze kuwarahisishia huduma na kuwapunguzia mwendo wa kufuata huduma za Bank mbali.

Naye, Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Bunda, Ndugu George S. Mbilinyi aliwashukuru Bank ya NMB kwa elimu nzuri waliyoitoa kuhusiana na huduma zao, pia aliwaomba waharakishe katika kujenga tawi hilo katika jengo la utawala ili kurahisisha huduma za Bank.

Matangazo

  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI June 23, 2025
  • TANGAZO LA MIKOPO September 26, 2024
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI September 18, 2024
  • TANGAZO KWA WATUMISHI WOTE December 20, 2024
  • Angalia zote

Habari Mpya

  • DKT BWIRE AFADHILI VIFAA VYA MICHEZO KWA HALMASHAURI YA WILAYA YA BUNDA

    August 18, 2025
  • MWENGE WA UHURU WAPOKELEWA MKOANI MARA

    August 15, 2025
  • TIMU YA HALMASHAURI YAAGWA RASMI KUELEKEA MASHINDANO YA SHIMISEMITA, TANGA

    August 14, 2025
  • WAIMAMIZI WASAIDIZI WA UCHAGUZI MKUU 2025 NGAZI YA KATA WALA KIAPO CHA KUTUNZA SIRI NA KUJITOA KATIKA CHAMA CHA SIASA

    August 05, 2025
  • Angalia zote

Video

Mvamizi wa eneo la soko.
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Baraza la Madiwani
  • Dira na Dhamira
  • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
  • Mpango Mkakati
  • Mpango wa Uwekezaji Sekta ya Samaki
  • Muundo wa Taasisi
  • OPRAS - Form

Viunganishi Muambata

  • Matokeo ya Darasa la Saba 2023 Bundadc
  • Matokeo ya darasa la saba
  • Matokeo ya darasa la saba
  • PO-RALG
  • PO-PSM
  • Matokeo ya Kidato cha Nne 2019

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Wasiliana Nasi

    Kibara Stoo.

    Anuani ya Posta: 126, Bunda

    Simu: 0282621055

    Hamishika:

    Barua Pepe: ded@bundadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Haki Miliki@ 2017 Halmashauri ya Wilaya ya Bunda