NYARAKA ZA MAFAO YA UZAZI
1.Folio 1- Ben.11
2.Folio 2-Nakala ya cheti cha kuzaliwa mtoto
3.Folio 3-Nakala ya barua ya ajira
4.Folio 4-statimenti ya benki
5.Folio 5-Hati ya mshahara
6.Folio 6-Fomu ya maombi ya likizo
7.Folio 7-Kadi ya klinik ya ujauzito
8.Folio 8-Barua ya utambulisho kutoka kwa mwajiri
9.Folio- 9 Kadi ya kliniki ya mtoto
10.Folio-10 Nakala ya Kitambulisho
Nyongeza
Nakala za kadi ya ujauzito, kadi ya kliniki ya mtoto,nakala ya kitambulisho cha Nida/Mpiga kura/Leseni ya udereva zithibitishwe mahakamani
Kibara Stoo.
Anuani ya Posta: 126, Bunda
Simu: 0282621055
Hamishika:
Barua Pepe: ded@bundadc.go.tz
Haki Miliki@ 2017 Halmashauri ya Wilaya ya Bunda