VIELELEZO KWA AJILI YA KUPATA FAO LA KIFO /SURVIVOR
1.BEN.2
2.Muhatasari wakikao cha ukoo
3.Fomu yausimamiziwamirathi(FomuIV)
4.Nakala yacheti cha kifo
5.Nakala yacheti cha ndoa/viapo vyandoa
6.Cheti cha kuzaliwa viapo vyaumrivya Watoto namwezi/mke/mumevibandikwepichavyamuhusika,vipigwemuhuriwa mahakama nakusainiwa
7.Barua yaajira(PP)
8.Barua yakupandacheo
9.Nakala yashauri la Mirathnahukumuyake
10.Hesabu za Mirathifomunamba VI ya mahakama
11.BEN.O nabenkistatimenti za wategemezi walitajwa nafomu VI yamahakama(NB.Majinayakwenyefomunamba VI yawesawasawana bank statement za wategemezi)
12.Barua yakupandacheo
13.Nakala yakitambulisho chamsimamiziwamirathi
14 .Mojayanakala salary Slip za marehemu za karibuni
NYONGEZA
15.Ambatanisha hatiyakiapo cha kuthibitishamajina-kamakunautofautiwamajinakwenyenyarakambalimbaliie.vyetivyakuzaliwa, vyetivyandoa
16.Nakala zote za vyetikwamfano:ndoa,kuzaliwa,kifo,mgawanyoVI,UsimamiziwaMirathiIV,muhutasariwakikao cha familia,maamuziyamahakama,kitambulisho cha msimamizikipigwemuhurinavisainiwena mahakama
Kibara Stoo.
Anuani ya Posta: 126, Bunda
Simu: 0282621055
Hamishika: 0754335739
Barua Pepe: ded@bundadc.go.tz
Haki Miliki@ 2017 Halmashauri ya Wilaya ya Bunda