Friday 11th, October 2024
@Nyamuswa B, shule ya msingi
Mwenge wa Uhuru unatarajia kupokelewa katika viwanja vya shule ya msingi Nyamuswa B, ukitokea Halmashauri ya Wilaya ya Serengeti, ambapo utakagua miradi mbalimbali ya maendeleo katika Halmashauri ya Wilaya ya Bunda.
Kibara Stoo.
Anuani ya Posta: 126, Bunda
Simu: 0282621055
Hamishika: 0754335739
Barua Pepe: ded@bundadc.go.tz
Haki Miliki@ 2017 Halmashauri ya Wilaya ya Bunda