Wednesday 24th, April 2024
@Mara
Maadhimisho wa Siku ya Mazingira Kitaifa yatafanyika mkoani Mara Wilaya ya Butiama. Mgeni rasmi atakuwa ni Mhe. Samia Suluhu, Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.Maadhimisho haya yatafikia kilele chake tarehe 4/6/2017 ambapo siku itakayofuata Makamu wa Rais ataendelea na shughuli zingine za Kiserikali mkoani hapa.
Kibara Stoo.
Anuani ya Posta: 126, Bunda
Simu: 0282621055
Hamishika: 0754821313
Barua Pepe: ded@bundadc.go.tz
Haki Miliki@ 2017 Halmashauri ya Wilaya ya Bunda