Afisa Mwandikishaji wa Jimbo la Bunda na Mwibara anapenda kuwatangazia wananchi wote waliomba nafasi za kazi katika zoezi la Uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura, kuwa Usaili unatarajia kuendeshwa kuanzia tarehe 20-08-2024 hadi 21-08-2024 na hatimaye kuwapangia vituo vya kazi waombaji watakaofaulu usaili huo. Bofya hapa kuona orodha ya majina na ratiba ya usaili.
Kibara Stoo.
Anuani ya Posta: 126, Bunda
Simu: 0282621055
Hamishika: 0742163056
Barua Pepe: ded@bundadc.go.tz
Haki Miliki@ 2017 Halmashauri ya Wilaya ya Bunda