Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Bunda anapenda kuwataarifu Watanzania wote walioomba kazi katika nafasi ya Dereva Daraja Il na Mteknolojia (Radiolojia) Daraja la Il, nafasi zilizotangazwa kupitia tangazo lenye Kumb. Na. HBIA:20/1.VOL.IIW589 la tarehe 29 Februari, 2024 na nafasi ya Afisa Ukuzaji Viumbe Msaidizi kwenye Maji Daraja la |l kupitia tangazo la ajira lenye Kumb. Na. HBW:20/22/ol.V/84 la tarehe 18 Aprili, 2024 kuwa usaili unatarajiwa kufanyika katika ukumbi wa Halmashauri ya Wilaya ya Bunda, Kibara yalipo Makao Makuu ya Halmashauri kwa sasa kuanzia saa 1:00 Asubuhi. Aidha jedwali la ratiba ya usaili limeainishwa hapo chini.Adobe Scan 22 May 2024 (3).pdf
Kibara Stoo.
Anuani ya Posta: 126, Bunda
Simu: 0282621055
Hamishika: 0742163056
Barua Pepe: ded@bundadc.go.tz
Haki Miliki@ 2017 Halmashauri ya Wilaya ya Bunda