Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Bunda anawatangazia waombaji wa kazi nafasi mbalimbali waliokidhi vigezo kuhudhuria usaili.
Aidha waombaji wasioona majina yao kwenye orodha hii watambue kuwa hawakukidhi vigezo au walikosea masharti ya uombaji.
Bofya hapa chini kuona Orodha
Kibara Stoo.
Anuani ya Posta: 126, Bunda
Simu: 0282621055
Hamishika: 0754335739
Barua Pepe: ded@bundadc.go.tz
Haki Miliki@ 2017 Halmashauri ya Wilaya ya Bunda