• Malalamiko |
    • Maswali |
    • Barua Pepe |
Bunda District Council
Bunda District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais - Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Bunda

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Kilimo, Umwagiliaji & Ushirika
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Maji
      • Fedha & Biashara
      • Ujenzi
      • Afya
      • Mifugo & Uvuvi
      • Elimu Sekondari
      • Rasilimali Watu
      • Maendeleo ya Jamii
      • Usafi & Mazingira
      • Elimu Msingi
      • Ardhi na Maliasili
    • Vitengo
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Ufugaji Nyuki
      • Uchaguzi
      • Manunuzi
  • Huduma Zetu
    • Maji
    • Elimu Msingi
    • Barabara
    • Mifugo
    • Afya
    • Mazao ya kilimo
  • Fursa za Uwekezaji
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha, Uongozi & Mipango
      • Elimu, Afya & Maji
      • AIDS Control
      • Maadili
    • Ratiba
  • Miradi
    • Itakayotekelezwa
    • Inayoendelea
    • Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taarifa
    • Sheria Ndogo
    • Fomu Mbalimbali
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Uma
    • Video
    • Hifadhi ya Picha
    • Habari
    • Matukio

WASIMAMIZI WAKUU na WASIMAMIZI WASAIDIZIWAPATIWAMAFUNZO

Posted on: October 25th, 2020

Msimamizi wa uchaguzi  Jimbo la Mwibara na Bunda Bw. Amos Kusaja  amewataka wasimamizi wa Uchaguzi kwenda kufanya kazi hiyo kwa uadilifu mkuu ambapo pia amewasisitiza kuzingatia sheria na Taratibu walizoelekezwa pamoja na mafunzo ambayo wamepewa.

Ameyasema hayo wakati akifungua semina ya siku mbili ya wasimamizi hao iliyofanyika katika ukumbi wa  Malaika uliopo Bunda Mji.

“Nendeni mkafanye kazi hii  vyema hatumvumilia mtu ambaye atakiuka mmeapa  kwa mujibu wa sheria hatutarajii kuona fujo kwenye maeneo yenu nendeni mkatumie hii elimu mliyoipata hapa kikamilifu”.

Aidha Bw. Kusaja amewakumbusha kuwa uchaguzi upo  kwa  mujibu wa sheria,kanuni, taratibu na miongozo mbalimbali hivyo wakavizingatie kwani kwenda kinyume na hivyo watawajibika Kwa mujibu wa sheria jambo si zuri kwao.

Hata hivyo amewasihi wasimamizi hao kuepuka kuleta itikadi za vyama vyao kwa kuwa wameshakula kiapo cha kujitoa uanachama wakumbuke kuwa wapo pale kama watumishi wa Tume na  si Wanasiasa.

“Kila aliyekula kiapo   cha Tume atambue kuwa yeye si mwanachama wa chama chochote kuanzia sasa”amesema Kusaja.

Amewakumbusha wasimamizi hao kuwa kuzingatia muda wa kufika kituoni, ilikuepusha kuwakwamisha wananchi  kukosa  haki yao muhimu ya kupiga kura.

“kituo kinafunguliwa 1.00 asubuhi ni vyema kila mmoja kufika kituoni kabla ya huo muda kwaajili ya maandalizi”.amesema Kusaja

Akiongea kwa niaba ya wasimamizi wengine Linda Isinike amewasihi washiriki wengine kwenda kuwa waaminifu katika kukamilisha zoezi hilo ili likamilike kwa amani na utulivu.

Semina hii imehudhuriwa na wasimamizi 371 na wasimamizi wasaidizi 666 wa vituo vyakupiga jimbo la Mwibara na Bunda na inafanyika kwa siku mbili ambapo imehudhuriwa pia  na wasimamizi ngazi ya Kata na Jimbo.


Matangazo

  • KUITWA KWENYE USAHILI KWA NAFASI ZA UDEREVA May 07, 2025
  • TANGAZO LA MIKOPO September 26, 2024
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI September 18, 2024
  • TANGAZO KWA WATUMISHI WOTE December 20, 2024
  • Angalia zote

Habari Mpya

  • VIKUNDI VYA WANAWAKE, VIJANA NA WATU WENYE ULEMAVU VYATEMBELEWA NA KUKAGULIWA NA KAMATI YA MIKOPO NGAZI YA HALMASHAURI

    April 26, 2025
  • WATUMISHI WA HALMASHAURI YA WILAYA YA BUNDA WAHITIMISHA MAFUNZO YA SIKU 5 YA UANDAAJI NA UTENGENEZAJI WA MPANGO MKAKATI

    April 25, 2025
  • PROJECT ZAWADI YAIPIGA TAFU MASHINDANO YA UMITASHUMTA KATIKA HALMASHAURI YA WILAYA YA BUNDA

    April 07, 2025
  • WALIMU WA SHULE ZA SEKONDARI KATIKA HALMASHAURI YA WILAYA YA BUNDA WAPEWA TUZO NA ZAWADI .

    April 03, 2025
  • Angalia zote

Video

Mvamizi wa eneo la soko.
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Baraza la Madiwani
  • Dira na Dhamira
  • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
  • Mpango Mkakati
  • Mpango wa Uwekezaji Sekta ya Samaki
  • Muundo wa Taasisi
  • OPRAS - Form

Viunganishi Muambata

  • Matokeo ya Darasa la Saba 2023 Bundadc
  • Matokeo ya darasa la saba
  • Matokeo ya darasa la saba
  • PO-RALG
  • PO-PSM
  • Matokeo ya Kidato cha Nne 2019

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Wasiliana Nasi

    Kibara Stoo.

    Anuani ya Posta: 126, Bunda

    Simu: 0282621055

    Hamishika: 0742163056

    Barua Pepe: ded@bundadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Haki Miliki@ 2017 Halmashauri ya Wilaya ya Bunda