• Malalamiko |
    • Maswali |
    • Barua Pepe |
Bunda District Council
Bunda District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais - Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Bunda

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Kilimo, Umwagiliaji & Ushirika
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Maji
      • Fedha & Biashara
      • Ujenzi
      • Afya
      • Mifugo & Uvuvi
      • Elimu Sekondari
      • Rasilimali Watu
      • Maendeleo ya Jamii
      • Usafi & Mazingira
      • Elimu Msingi
      • Ardhi na Maliasili
    • Vitengo
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Ufugaji Nyuki
      • Uchaguzi
      • Manunuzi
  • Huduma Zetu
    • Maji
    • Elimu Msingi
    • Barabara
    • Mifugo
    • Afya
    • Mazao ya kilimo
  • Fursa za Uwekezaji
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha, Uongozi & Mipango
      • Elimu, Afya & Maji
      • AIDS Control
      • Maadili
    • Ratiba
  • Miradi
    • Itakayotekelezwa
    • Inayoendelea
    • Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taarifa
    • Sheria Ndogo
    • Fomu Mbalimbali
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Uma
    • Video
    • Hifadhi ya Picha
    • Habari
    • Matukio

WANANCHI WA KIJIJI CHA KURUSANGA WAONYWA KUACHA TABIA YA KUJICHUKULIA SHERIA MIKONONI.

Posted on: January 9th, 2025

Wananchi wa Kijiji cha  Kurusanga Kata ya Salama iliyopo Halmashauri ya  wilaya ya Bunda,  wameombwa kuendelea kuchukia uhalifu na  kujizuia kujichukulia sheria mkononi kwani inasababisha madhara hata kwa wasio na hatia.

Rai hiyo,  imetolewa na Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mara Kamishna Msaidizi Mwandamizi Ndg Pius Lutumo, siku ya tarehe 8/1/2025 ,alipofanya ziara katika Kata ya Salama ili kuongea na wananchi juu ya masuala ya ulinzi na usalama.

Ziara hii imekuja  baada ya kutokea tukio la mtu mmoja alieshukiwa kuwa ni mwizi wa Ng’ombe kupigwa na  kuuwawa na wananchi wenye hasira kali katika Kijiji cha Kurusanga siku chache zilizopita.

Pamoja na hayo,  Kamanda ameendelea kwa kusema kua matatizo haya ya mauaji,wizi na ukorofi huwa yanaanza na uzembe wa wananchi kwa nafasi zao kutochukua hatua stahiki kila mara pale tatizo linapojitokeza hali inayosababisha hali ya kulea tatizo.

Hivyo,  ameagiza Kata kuunda kamati za ulinzi na usalama kuanzia ngazi za vitongoji na vikundi vya ulinzi ambavyo vitajengewa uwezo na ofisi ya OCD.

Kamanda Lutumo alitoa kauli ya kuwataka wale wote waliokimbia miji yao kutokana na tukio la mshukiwa wa wizi kuuwawa warudi mara moja kwenye miji yao wakati huu ambapo jeshi la Polisi linafanya uchunguzi wake kwani Serikali ina mkono mrefu na haijashindwa kuwapata.

Matangazo

  • KUITWA KWENYE USAHILI KWA NAFASI ZA UDEREVA May 07, 2025
  • TANGAZO LA MIKOPO September 26, 2024
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI September 18, 2024
  • TANGAZO KWA WATUMISHI WOTE December 20, 2024
  • Angalia zote

Habari Mpya

  • VIKUNDI VYA WANAWAKE, VIJANA NA WATU WENYE ULEMAVU VYATEMBELEWA NA KUKAGULIWA NA KAMATI YA MIKOPO NGAZI YA HALMASHAURI

    April 26, 2025
  • WATUMISHI WA HALMASHAURI YA WILAYA YA BUNDA WAHITIMISHA MAFUNZO YA SIKU 5 YA UANDAAJI NA UTENGENEZAJI WA MPANGO MKAKATI

    April 25, 2025
  • PROJECT ZAWADI YAIPIGA TAFU MASHINDANO YA UMITASHUMTA KATIKA HALMASHAURI YA WILAYA YA BUNDA

    April 07, 2025
  • WALIMU WA SHULE ZA SEKONDARI KATIKA HALMASHAURI YA WILAYA YA BUNDA WAPEWA TUZO NA ZAWADI .

    April 03, 2025
  • Angalia zote

Video

Mvamizi wa eneo la soko.
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Baraza la Madiwani
  • Dira na Dhamira
  • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
  • Mpango Mkakati
  • Mpango wa Uwekezaji Sekta ya Samaki
  • Muundo wa Taasisi
  • OPRAS - Form

Viunganishi Muambata

  • Matokeo ya Darasa la Saba 2023 Bundadc
  • Matokeo ya darasa la saba
  • Matokeo ya darasa la saba
  • PO-RALG
  • PO-PSM
  • Matokeo ya Kidato cha Nne 2019

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Wasiliana Nasi

    Kibara Stoo.

    Anuani ya Posta: 126, Bunda

    Simu: 0282621055

    Hamishika: 0742163056

    Barua Pepe: ded@bundadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Haki Miliki@ 2017 Halmashauri ya Wilaya ya Bunda