• Malalamiko |
    • Maswali |
    • Barua Pepe |
Bunda District Council
Bunda District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais - Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Bunda

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Kilimo, Umwagiliaji & Ushirika
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Maji
      • Fedha & Biashara
      • Ujenzi
      • Afya
      • Mifugo & Uvuvi
      • Elimu Sekondari
      • Rasilimali Watu
      • Maendeleo ya Jamii
      • Usafi & Mazingira
      • Elimu Msingi
      • Ardhi na Maliasili
    • Vitengo
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Ufugaji Nyuki
      • Uchaguzi
      • Manunuzi
  • Huduma Zetu
    • Maji
    • Elimu Msingi
    • Barabara
    • Mifugo
    • Afya
    • Mazao ya kilimo
  • Fursa za Uwekezaji
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha, Uongozi & Mipango
      • Elimu, Afya & Maji
      • AIDS Control
      • Maadili
    • Ratiba
  • Miradi
    • Itakayotekelezwa
    • Inayoendelea
    • Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taarifa
    • Sheria Ndogo
    • Fomu Mbalimbali
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Uma
    • Video
    • Hifadhi ya Picha
    • Habari
    • Matukio

TAHADHARI YA UGONJWA WA KIPINDUPINDU YATOLEWA KWA WANANCHI WA WILAYA YA BUNDA.

Posted on: March 3rd, 2025

Mwenyekiti wa kamati ya Ushauri ya Wilaya ya Bunda (DCC) Ndugu Salum Khalfani Mtelela kwa niaba ya Mkuu wa Wilaya ya Bunda amewataka wananchi wa Wilaya ya Bunda kuchukua tahadhari juu ya ugonjwa wa kipindupindu ambao umekuwa na madhara makubwa  kwa siku za hivi karibuni.

Ameyasema hayo katika kikao cha kamati ya Ushauri ya Wilaya ya Bunda kilichofanyika siku ya tarehe 3/03/2025 katika ukumbi wa Halmashauri ya Bunda Mji, lengo kuu la kikao hicho likiwa ni kujadili na kupitisha rasimu ya mpango na bajeti kwa mwaka wa fedha 2025/2026.

“Mpaka sasa kuna baadhi ya wananchi wamekumbwa na ugonjwa huo hasa katika kata ya Igundu hivyo amewaagiza viongozi wa kata kuchukua hatua ikiwemo kuwahimiza wananchi kuchimba vyoo, kunawa mikono kwa maji safi na sabuni kabla na baada yakula, kusitisha sherehe zisizo za msingi pamoja na kuimarisha usafi wa mazingira.”Amesema

"Watu wa afya chukueni hatua kulingana na taratibu za kiafya, mtu yeyote au kiongozi yeyote anayejaribu kuzuia juhudi za kupambana na ugonjwa huu toeni taarifa ili tumuchukulie hatua za kisheria kwasababu kumekuwa na baadhi ya viongozi wa serikali wamekuwa wakiwapotosha wananchi juu ya ugonjwa huu kutokana na Imani zao potofu."Amesema Ndugu Mtelela

Aidha, Ndugu Mtelela amewataka wananchi kutotumia dhana ya elimu bure na kushindwa  kuchangia chakula cha wanafunzi shuleni na kuwataka wachangie ili wanafunzi wote waweze kupata chakula shuleni kwani  itasaidia kuongeza ufaulu wa wanafunzi.

"Kuna baadhi ya wananchi wamekuwa wakishindwa kuchangia chakula cha wanafunzi shuleni kwa kusingizia kuwa walimu wanakula chakula hicho hali inayorudisha nyuma jitihada za serikali za kuhakikisha kila mwanafunzi  anapata chakula anapokuwa shuleni ili kuongeza ufaulu wa wanafunzi hao"amesema Katiba Tawala

Matangazo

  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAHILI June 04, 2025
  • TANGAZO LA MIKOPO September 26, 2024
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI September 18, 2024
  • TANGAZO KWA WATUMISHI WOTE December 20, 2024
  • Angalia zote

Habari Mpya

  • ELIMU YA UTUNZAJI NA UHIFADHI WA MAZINGIRA YATOLEWA KWA WANAFUNZI WA SHULE YA SEKONDARI MWIBARA

    June 04, 2025
  • ZIARA YA MKUU WA WILAYA YA KUTEMBELEA NA KUKAGUA MIRADI YA MAENDELEO

    June 03, 2025
  • ELIMU IENDELEE KUTOLEWA KWA VIJANA RIKA BALEHE.

    May 31, 2025
  • WAUGUZI KATIKA HALMASHAURI YA WILAYA YA BUNDA WATAKIWA KUFANYA KAZI KWA WELEDI

    May 30, 2025
  • Angalia zote

Video

Mvamizi wa eneo la soko.
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Baraza la Madiwani
  • Dira na Dhamira
  • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
  • Mpango Mkakati
  • Mpango wa Uwekezaji Sekta ya Samaki
  • Muundo wa Taasisi
  • OPRAS - Form

Viunganishi Muambata

  • Matokeo ya Darasa la Saba 2023 Bundadc
  • Matokeo ya darasa la saba
  • Matokeo ya darasa la saba
  • PO-RALG
  • PO-PSM
  • Matokeo ya Kidato cha Nne 2019

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Wasiliana Nasi

    Kibara Stoo.

    Anuani ya Posta: 126, Bunda

    Simu: 0282621055

    Hamishika:

    Barua Pepe: ded@bundadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Haki Miliki@ 2017 Halmashauri ya Wilaya ya Bunda