• Malalamiko |
    • Maswali |
    • Barua Pepe |
Bunda District Council
Bunda District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais - Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Bunda

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Kilimo, Umwagiliaji & Ushirika
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Maji
      • Fedha & Biashara
      • Ujenzi
      • Afya
      • Mifugo & Uvuvi
      • Elimu Sekondari
      • Rasilimali Watu
      • Maendeleo ya Jamii
      • Usafi & Mazingira
      • Elimu Msingi
      • Ardhi na Maliasili
    • Vitengo
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Ufugaji Nyuki
      • Uchaguzi
      • Manunuzi
  • Huduma Zetu
    • Maji
    • Elimu Msingi
    • Barabara
    • Mifugo
    • Afya
    • Mazao ya kilimo
  • Fursa za Uwekezaji
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha, Uongozi & Mipango
      • Elimu, Afya & Maji
      • AIDS Control
      • Maadili
    • Ratiba
  • Miradi
    • Itakayotekelezwa
    • Inayoendelea
    • Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taarifa
    • Sheria Ndogo
    • Fomu Mbalimbali
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Uma
    • Video
    • Hifadhi ya Picha
    • Habari
    • Matukio

Mkuu wa Wilaya ya Bunda Mhe Lydia Bupilipili azindua wiki ya Unyonyeshaji katika kijiji cha Busambara Halmashauri ya Wilaya ya Bunda

Posted on: August 3rd, 2020

Ili kuendeleza usalama  wa dunia na kizazi kijacho tunahitaji kuchukua hatua za haraka ili kupunguza kiwango cha hewa ukaa(kaboni) katika mazingira yetu.Unyonyeshaji wa maziwa ya mama ni suluhisho mojawapo ambalo linahitaji ushiriki mkubwa wa sekta mbalimbali ili kutatua changamoto za kiafya na kimazingira.

Hayo yamesememwa Leo na Mkuu wa Wilaya ya  Mhe Lydia Bupilipili wakati wa uzinduzi wa maadhimisho ya wiki ya unyonyeshaji katika Halmshauri ya Wilaya ya Bunda.

“Wiki hii ya unyonyeshaji  inaeleza uhusiano uliopo kati ya unyonyeshaji watoto maziwa ya mama na afya bora pamoja na kulinda mazingira yetu  kama kauli mbiu inavyoeleza”.

Mhe Bupilipili amesema kuwa maadhimisho ya  wiki ya unyonyeshaji wa maziwa ya mama ni fursa muhimu ya kutoa hamasa kwa jamii katika kulinda,kuimarisha na kuendeleza unyonyeshaji.

“Ni muhimu kwa kila mzazi kuzingatia maelekezo ya Watalaam wa afya pindi anaposhika  mimba mpaka anapojifungua ikiwa na pamoja na ukuzaji wa  mtoto”.

Aidha, amesema watoto wanapotimiza miezi sita waanzishiwe vyakula vya nyongeza vyenye ubora katika lishe huku wakiendelea kunyonyeshwa hadi watakapotimiza umri wa miaka miwili.

Kwa upande wa takwimu kwa Halmashauri ya Wilaya Bunda  hali ya  unyonyeshaji inaonesha kuwa watoto wanaoanzishiwa  maziwa ya mama wakati wa kuzaliwa ni asilimia 94 na wanaoendelea na kunyonyeshwa maziwa ya mama pekee bila kupewa chochote hata maji ni asilimia 20 tu.

“Tafsi yake ni kuwa kati ya watoo 100 watoto 20 wananyonya maziwa ya mama pekee bila kupewa chochote hadi kufikia umri wa miezi sita”.amesema

  Naye,Mganga Mkuu wa Halmashauri Dkt Nuru Yunge  amesema Maadhimisho ya Wiki ya Unyonyeshaji Duniani kwa mwaka 2020 yamebebwa na kauli mbiu inayosema“Tuwawezeshe Wanawake kunyonyesha  Watoto kwa  Afya bora na ulinzi wa Mazingira”.

Dkt Yunge amesema kuwa unapojifungua katika kituo cha kutolea huduma,l huduma zinaanza pale pale ikiwemo ushauri wa unyonyeshaji  huzurio la kwanza kabla  ya miezi mitatu kwa wamama wajawazito kila unapohudhuria kliniki unapata huduma ya ushauri ikiwemo jinsi yakulea mtoto pindi utakapo jifungua.

“Mtoto si wako pekeako  mtoto ni wataifa”.

Aidha Dkt Yunge alitoa rai kwa wakina mama kunyonyesha watoto maziwa ya mama pekee kwa miezi sita baada ya  miezi sita  mtoto anaeza kuchanganyiwaa vyakula vyengine.

Siku 1000 ni muhimu sana kwa  maisha ya mtoto tangu mimba inatungwa pamoja na unyonyeshaji unaingia katika hizi siku, Madhara ya kutomnyonyesha vizuri mtoto ni makubwa hayatibiki, hivyo kila mzazi azingatie maelekezo ya wataalamu ili watoto wakue  katika mazingira bora pamoja na kuwa na afya imara.

Matangazo

  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAHILI June 04, 2025
  • TANGAZO LA MIKOPO September 26, 2024
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI September 18, 2024
  • TANGAZO KWA WATUMISHI WOTE December 20, 2024
  • Angalia zote

Habari Mpya

  • ELIMU YA UTUNZAJI NA UHIFADHI WA MAZINGIRA YATOLEWA KWA WANAFUNZI WA SHULE YA SEKONDARI MWIBARA

    June 04, 2025
  • ZIARA YA MKUU WA WILAYA YA KUTEMBELEA NA KUKAGUA MIRADI YA MAENDELEO

    June 03, 2025
  • ELIMU IENDELEE KUTOLEWA KWA VIJANA RIKA BALEHE.

    May 31, 2025
  • WAUGUZI KATIKA HALMASHAURI YA WILAYA YA BUNDA WATAKIWA KUFANYA KAZI KWA WELEDI

    May 30, 2025
  • Angalia zote

Video

Mvamizi wa eneo la soko.
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Baraza la Madiwani
  • Dira na Dhamira
  • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
  • Mpango Mkakati
  • Mpango wa Uwekezaji Sekta ya Samaki
  • Muundo wa Taasisi
  • OPRAS - Form

Viunganishi Muambata

  • Matokeo ya Darasa la Saba 2023 Bundadc
  • Matokeo ya darasa la saba
  • Matokeo ya darasa la saba
  • PO-RALG
  • PO-PSM
  • Matokeo ya Kidato cha Nne 2019

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Wasiliana Nasi

    Kibara Stoo.

    Anuani ya Posta: 126, Bunda

    Simu: 0282621055

    Hamishika:

    Barua Pepe: ded@bundadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Haki Miliki@ 2017 Halmashauri ya Wilaya ya Bunda