• Malalamiko |
    • Maswali |
    • Barua Pepe |
Bunda District Council
Bunda District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais - Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Bunda

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Kilimo, Umwagiliaji & Ushirika
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Maji
      • Fedha & Biashara
      • Ujenzi
      • Afya
      • Mifugo & Uvuvi
      • Elimu Sekondari
      • Rasilimali Watu
      • Maendeleo ya Jamii
      • Usafi & Mazingira
      • Elimu Msingi
      • Ardhi na Maliasili
    • Vitengo
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Ufugaji Nyuki
      • Uchaguzi
      • Manunuzi
  • Huduma Zetu
    • Maji
    • Elimu Msingi
    • Barabara
    • Mifugo
    • Afya
    • Mazao ya kilimo
  • Fursa za Uwekezaji
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha, Uongozi & Mipango
      • Elimu, Afya & Maji
      • AIDS Control
      • Maadili
    • Ratiba
  • Miradi
    • Itakayotekelezwa
    • Inayoendelea
    • Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taarifa
    • Sheria Ndogo
    • Fomu Mbalimbali
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Uma
    • Video
    • Hifadhi ya Picha
    • Habari
    • Matukio

KATIBU TAWALA MKOA WA MARA ATEMBELEA MIRADI YA MAENDELEO HALMASHAURI YA WILAYA YA BUNDA.

Posted on: March 7th, 2025

Katibu Tawala wa Mkoa wa Mara Ndugu Gerald Kusaya siku ya tarehe 6/03/2025 amefanya ziara ya kutembelea na kukagua miradi miwili ya elimu inayotekelezwa katika Halmashauri ya Wilaya ya Bunda pamoja na mradi wa ukamilishaji wa jengo la utawala la Halmashauri.

Ziara hiyo ililenga kutembelea na kukagua maendeleo ya miradi pamoja  na utekelezaji wa miradi. Aidha, ametembelea miradi ya ujenzi inayoendelea kutekelezwa katika shule ya wasichana Mara (MARA GIRLS) ambapo amekagua ujenzi wa vyumba vinne vya madarasa, jengo la tehama, makitaba,mabweni manne pamoja na nyumba tatu za walimu na utekelezaji wa miradi hiyo upo katika hatua mbalimbali za ujenzi ikiwemo upauaji kwa baadhi ya majengo, na ufungaji lenta.




Pia, alitembelea na kukagua ukamilishaji wa jengo la utawala la Halmashauri ya Wilaya ya Bunda na ujenzi umefikia asilimia 90 ukiwa katika hatua mbalimbali za ujenzi ikiwemo upakaji rangi na ujenzi wa uzio (fensi).


Ndugu Kusaya alikamilisha ziara yake kwa kutembelea na kukagua mradi wa ujenzi wa shule mpya ya Sekondari kata ya Nyamihyolo na kukagua  jumla ya majengo kumi na tatu na ujenzi umefikia hatua mbalimbali kama upigaji ripu, upauaji,blundering na ufungaji board.



Hata hivyo, Katibu Tawala amepongeza kasi ya utekelezaji wa mradi wa shule mpya ya Nyamihyolo pamoja na jengo la utawala na kusisitiza kuongeza juhudi   ili miradi iweze kukamilika kwa wakati. Pia, amemuagiza Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya kufuata utaratibu maalumu wa matumizi ya fedha za uendeshaji wa miradi na kutojihushisha na ulipaji wa madeni ya miradi iliyopita kwa kutumia fedha za uendeshaji wa miradi ya awamu ya pili.

Matangazo

  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAHILI June 04, 2025
  • TANGAZO LA MIKOPO September 26, 2024
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI September 18, 2024
  • TANGAZO KWA WATUMISHI WOTE December 20, 2024
  • Angalia zote

Habari Mpya

  • ELIMU YA UTUNZAJI NA UHIFADHI WA MAZINGIRA YATOLEWA KWA WANAFUNZI WA SHULE YA SEKONDARI MWIBARA

    June 04, 2025
  • ZIARA YA MKUU WA WILAYA YA KUTEMBELEA NA KUKAGUA MIRADI YA MAENDELEO

    June 03, 2025
  • ELIMU IENDELEE KUTOLEWA KWA VIJANA RIKA BALEHE.

    May 31, 2025
  • WAUGUZI KATIKA HALMASHAURI YA WILAYA YA BUNDA WATAKIWA KUFANYA KAZI KWA WELEDI

    May 30, 2025
  • Angalia zote

Video

Mvamizi wa eneo la soko.
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Baraza la Madiwani
  • Dira na Dhamira
  • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
  • Mpango Mkakati
  • Mpango wa Uwekezaji Sekta ya Samaki
  • Muundo wa Taasisi
  • OPRAS - Form

Viunganishi Muambata

  • Matokeo ya Darasa la Saba 2023 Bundadc
  • Matokeo ya darasa la saba
  • Matokeo ya darasa la saba
  • PO-RALG
  • PO-PSM
  • Matokeo ya Kidato cha Nne 2019

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Wasiliana Nasi

    Kibara Stoo.

    Anuani ya Posta: 126, Bunda

    Simu: 0282621055

    Hamishika:

    Barua Pepe: ded@bundadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Haki Miliki@ 2017 Halmashauri ya Wilaya ya Bunda