• Malalamiko |
    • Maswali |
    • Barua Pepe |
Bunda District Council
Bunda District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais - Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Bunda

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Kilimo, Umwagiliaji & Ushirika
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Maji
      • Fedha & Biashara
      • Ujenzi
      • Afya
      • Mifugo & Uvuvi
      • Elimu Sekondari
      • Rasilimali Watu
      • Maendeleo ya Jamii
      • Usafi & Mazingira
      • Elimu Msingi
      • Ardhi na Maliasili
    • Vitengo
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Ufugaji Nyuki
      • Uchaguzi
      • Manunuzi
  • Huduma Zetu
    • Maji
    • Elimu Msingi
    • Barabara
    • Mifugo
    • Afya
    • Mazao ya kilimo
  • Fursa za Uwekezaji
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha, Uongozi & Mipango
      • Elimu, Afya & Maji
      • AIDS Control
      • Maadili
    • Ratiba
  • Miradi
    • Itakayotekelezwa
    • Inayoendelea
    • Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taarifa
    • Sheria Ndogo
    • Fomu Mbalimbali
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Uma
    • Video
    • Hifadhi ya Picha
    • Habari
    • Matukio

Halmashauri ya Wilaya ya Bunda yakabidhi vyumba vya madarasa 87 kwa Mkuu wa Mkoa wa Mara

Posted on: January 22nd, 2022

Mkuu wa mkoa wa Mara Mhe.Ally Hapi amewataka wazazi kuendelea kuwapeleka watoto Shuleni ili waweze kupata Elimu kwa manufaa ya baadae.

Mhe.Hapi amesema hayo Januari 21,2022 mara baada ya kukabidhiwa  vyumba 87 vya madarasa ambavyo fedha zake zimetokana na mpango wa maendeleo ya Ustawi wa Taifa na mapambano dhidi ya Uviko-19.

Mhe. Hapi amesema kuwa kila mzazi ambae mtoto wake anatakiwa  kwenda shule ampeleke  kwasababu  serikali  imeendelea kutoa elimu bure na kutengeneza mazingira bora ya kujifunza.

“Serikali  haitamvumilia mzazi yeyote ambae hatompeleka mtoto shule,wazazi ni wajibu wenu kupeleka watoto shule"amesisitiza Mhe Hapi

Aidha Mhe.Hapi amesema kuwa Serikali imeendelea kuweka mazingira bora kwa walimu na wanafunzi ili kuongeza ufaulu .

“Serikali  inaendelea kulipa madai ya walimu,kupandisha madaraja pamoja kuweka mazingira bora ya kufundisha na kujifunza”Mhe.Ally Hapi

Awali akitoa taarifa ya ujenzi wa madarasa hayo mwalimu Frolian Phares Kamugisha  kutoka Shule ya Sekondari Makongoro  amesema kuwa  madarasa mapya yamesaidia kupunguza  msongamano kwa wanafunzi darasani pamoja na kuweka mazingira rafiki ya kufundisha na kujifunza.

Aidha mwalimu  Kamugisha ametoa shukrani kwa Mhe Rais Samia Suluhu Hassan kwakuwapatia kiasi cha sjhilingi 80,000,000 kwaajili ya ujenzi wa vyumba vinne vya madarasa na ofisi mbili

‘’Tunamshukuru Mhe.Rais kwakutupatia mgao wa fedha hizo ambapo leo hii mazingira mazuri katika shule imekua faraja kwa walimu pamoja na wanafunzi’’amesema Mwal.Kamugisha

Mwisho Mkuu wa Mkoa amefanya Mkutano wa hadhara na kuzungumza na wananchi wa Kata ya Nyamuswa na Kata jirani sambamba na kusikiliza kero za wananchi.

Matangazo

  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAHILI June 04, 2025
  • TANGAZO LA MIKOPO September 26, 2024
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI September 18, 2024
  • TANGAZO KWA WATUMISHI WOTE December 20, 2024
  • Angalia zote

Habari Mpya

  • ELIMU YA UTUNZAJI NA UHIFADHI WA MAZINGIRA YATOLEWA KWA WANAFUNZI WA SHULE YA SEKONDARI MWIBARA

    June 04, 2025
  • ZIARA YA MKUU WA WILAYA YA KUTEMBELEA NA KUKAGUA MIRADI YA MAENDELEO

    June 03, 2025
  • ELIMU IENDELEE KUTOLEWA KWA VIJANA RIKA BALEHE.

    May 31, 2025
  • WAUGUZI KATIKA HALMASHAURI YA WILAYA YA BUNDA WATAKIWA KUFANYA KAZI KWA WELEDI

    May 30, 2025
  • Angalia zote

Video

Mvamizi wa eneo la soko.
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Baraza la Madiwani
  • Dira na Dhamira
  • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
  • Mpango Mkakati
  • Mpango wa Uwekezaji Sekta ya Samaki
  • Muundo wa Taasisi
  • OPRAS - Form

Viunganishi Muambata

  • Matokeo ya Darasa la Saba 2023 Bundadc
  • Matokeo ya darasa la saba
  • Matokeo ya darasa la saba
  • PO-RALG
  • PO-PSM
  • Matokeo ya Kidato cha Nne 2019

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Wasiliana Nasi

    Kibara Stoo.

    Anuani ya Posta: 126, Bunda

    Simu: 0282621055

    Hamishika:

    Barua Pepe: ded@bundadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Haki Miliki@ 2017 Halmashauri ya Wilaya ya Bunda