• Malalamiko |
    • Maswali |
    • Barua Pepe |
Bunda District Council
Bunda District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais - Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Bunda

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Kilimo, Umwagiliaji & Ushirika
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Maji
      • Fedha & Biashara
      • Ujenzi
      • Afya
      • Mifugo & Uvuvi
      • Elimu Sekondari
      • Rasilimali Watu
      • Maendeleo ya Jamii
      • Usafi & Mazingira
      • Elimu Msingi
      • Ardhi na Maliasili
    • Vitengo
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Ufugaji Nyuki
      • Uchaguzi
      • Manunuzi
  • Huduma Zetu
    • Maji
    • Elimu Msingi
    • Barabara
    • Mifugo
    • Afya
    • Mazao ya kilimo
  • Fursa za Uwekezaji
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha, Uongozi & Mipango
      • Elimu, Afya & Maji
      • AIDS Control
      • Maadili
    • Ratiba
  • Miradi
    • Itakayotekelezwa
    • Inayoendelea
    • Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taarifa
    • Sheria Ndogo
    • Fomu Mbalimbali
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Uma
    • Video
    • Hifadhi ya Picha
    • Habari
    • Matukio

DC Bunda apokea taarifa ya chanjo ya Surua Rubella na polio Sindano, atoa angalizo vifo vya wajawazito

Posted on: November 1st, 2019

Mkuu wa Wilaya  ya Bunda, Mheshimiwa Lydia Bupilipiliamepokea taarifa ya utekelezaji  wa chanjo ya SuruaRubella na Polio yaSindano kutoka kwa Kamati ya Afya ya Msingi (PHC) Novemba Mosi mwaka huu katikaUkumbi wa Ofisi ya Mkuu wa Wilaya.

Kampeni yachanjo hizo ilianza Oktoba 17 na kumalizika Oktoba 21, mwaka huu ambapowalengwa wa chanjo hizo walikuwa ni watoto chini ya miaka mitano.

Idadi yawatoto waliolengwa kupata chanjo ya Surua Rubella ilikuwa 50,036 kutokana idadikuongezeka watoto 51,036 walipata chanjo ambapo ni sawa na asilimia 102.

Kwa upandewa  Polio Sindano walengwa ni watoto wa kuanzia mwaka mmoja na nusu hadimiaka mitatu na nusu.

Idadi yawaliolengwa kupata chanjo ya polio Sindano ni 19,869 kutoka na na idadikuongezeka watoto 22,822 walipata huduma  ni sawa na asilimia 115.

Wanakamati yaAfya ya Msingi, wameeleza baadhi ya changamoto walizokutana nazo wakati wakampeni ya chanjo hizo kuwa ni mvua ambapo baadhi ya wazazi walishindwakupeleka watoto vituoni kwa wakati, pia mwitikio na uhamasishaji mdogo katika kata ya Kibara.
 
Kutokana na haki hiyo, Mheshimiwa Bupilipili ambaye pia ni Mwenyekiti wa Kamatiya Afya ya Msingi, alisema ili kuboresha  huduma na kupata mwitikio wa wananchi ni kuandaa chakula bora kwa ajili ya mtoto ambacho kinapatikanakatika jamii.

Alisemakamati inaweza kuandaa hata uji ili wakati mtoto anachomwa sindano anapatakikombe cha uji.

Alitoamsisitizo kwa wanakamati kuwa wabunifu huku akimwagiza afisa Lishe, JanuaryDalushi kusimamia suala la lishe pindi zoezi hilo litapoanza tena.

Kwa upandemwengine Mh Bupilipili alitolea mkazo suala la vifo vya wajawazito na watotokucheleweshwa kwenda kliniki lisije likatokea tena katika Wilaya ya Bunda.

Mwishoaliwapongeza  kwa kazi nzuri na kuwataka waendelee kuwajibika katikamajukumu yao kwa ufasaha.

Matangazo

  • KUITWA KWENYE USAHILI KWA NAFASI ZA UDEREVA May 07, 2025
  • TANGAZO LA MIKOPO September 26, 2024
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI September 18, 2024
  • TANGAZO KWA WATUMISHI WOTE December 20, 2024
  • Angalia zote

Habari Mpya

  • VIKUNDI VYA WANAWAKE, VIJANA NA WATU WENYE ULEMAVU VYATEMBELEWA NA KUKAGULIWA NA KAMATI YA MIKOPO NGAZI YA HALMASHAURI

    April 26, 2025
  • WATUMISHI WA HALMASHAURI YA WILAYA YA BUNDA WAHITIMISHA MAFUNZO YA SIKU 5 YA UANDAAJI NA UTENGENEZAJI WA MPANGO MKAKATI

    April 25, 2025
  • PROJECT ZAWADI YAIPIGA TAFU MASHINDANO YA UMITASHUMTA KATIKA HALMASHAURI YA WILAYA YA BUNDA

    April 07, 2025
  • WALIMU WA SHULE ZA SEKONDARI KATIKA HALMASHAURI YA WILAYA YA BUNDA WAPEWA TUZO NA ZAWADI .

    April 03, 2025
  • Angalia zote

Video

Mvamizi wa eneo la soko.
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Baraza la Madiwani
  • Dira na Dhamira
  • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
  • Mpango Mkakati
  • Mpango wa Uwekezaji Sekta ya Samaki
  • Muundo wa Taasisi
  • OPRAS - Form

Viunganishi Muambata

  • Matokeo ya Darasa la Saba 2023 Bundadc
  • Matokeo ya darasa la saba
  • Matokeo ya darasa la saba
  • PO-RALG
  • PO-PSM
  • Matokeo ya Kidato cha Nne 2019

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Wasiliana Nasi

    Kibara Stoo.

    Anuani ya Posta: 126, Bunda

    Simu: 0282621055

    Hamishika: 0742163056

    Barua Pepe: ded@bundadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Haki Miliki@ 2017 Halmashauri ya Wilaya ya Bunda