• Malalamiko |
    • Maswali |
    • Barua Pepe |
Bunda District Council
Bunda District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais - Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Bunda

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Kilimo, Umwagiliaji & Ushirika
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Maji
      • Fedha & Biashara
      • Ujenzi
      • Afya
      • Mifugo & Uvuvi
      • Elimu Sekondari
      • Rasilimali Watu
      • Maendeleo ya Jamii
      • Usafi & Mazingira
      • Elimu Msingi
      • Ardhi na Maliasili
    • Vitengo
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Ufugaji Nyuki
      • Uchaguzi
      • Manunuzi
  • Huduma Zetu
    • Maji
    • Elimu Msingi
    • Barabara
    • Mifugo
    • Afya
    • Mazao ya kilimo
  • Fursa za Uwekezaji
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha, Uongozi & Mipango
      • Elimu, Afya & Maji
      • AIDS Control
      • Maadili
    • Ratiba
  • Miradi
    • Itakayotekelezwa
    • Inayoendelea
    • Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taarifa
    • Sheria Ndogo
    • Fomu Mbalimbali
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Uma
    • Video
    • Hifadhi ya Picha
    • Habari
    • Matukio

Bilioni 1 kuanza kujenga makao Makuu ya Halmashauri ya Wilaya ya Bunda.

Posted on: April 11th, 2021

Halmashauri ya Wilaya ya Bunda imepokea fedha  kiasi cha Shilingi Bilioni Moja kwaajili ya ujenzi wa makao Makuu ya Halmashauri.

Hayo yamesemwa na Kaimu Mkurugenzi Bw.Stafa Nashoni katika Kikao cha Baraza la Madiwani robo ya pili kilichofanyika Aprili 1, 2021 katika ukumbi wa Kanisa la Kibara.

Bwa.Nashoni alisema kuwa  takribani wiki tatu zilizopita Halmashauri ilipokea  fedha kiasi cha shilingi Bilioni Moja kwaajili ya ujenzi wa Makao Maku ya  Halmashauri.

‘Tunaishukuru Serikali kwakutupatia fedha kwaajili ya Ujenzi”.Alisema Bwa.Nashoni

Hata hivyo Bwa. Nashoni aliwaomba Waheshimiwa madiwani kuacha malumbano ya wapi Halmashauri hiyo ijengwe na badala yake wajielekeze kwenye  ujenzi ili uweze kukamilika kwa wakati.

‘Niwaombe waheshimiwa Madiwani tujielekeze katika ujenzi,hatutapenda tena kuoneshewa vidole kila siku tuko nyuma kama ilivyo katika Hospitali’.Alisema  Bwa.Nashoni

Mchakato wa Ujenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Bunda ulianza tarehe 30/12/2019 mpaka 18/02/2021 baada ya kupokea Barua ya Katibu Mkuu Tamisemi ikielekeza Maamuzi ya Madiwani yazingatiwe kuwa ujenzi wa Makao Makuu ufanyike Kibara,Kijiji cha Kibara stoo Tarafa ya Nansimo.

Matangazo

  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAHILI June 04, 2025
  • TANGAZO LA MIKOPO September 26, 2024
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI September 18, 2024
  • TANGAZO KWA WATUMISHI WOTE December 20, 2024
  • Angalia zote

Habari Mpya

  • ELIMU YA UTUNZAJI NA UHIFADHI WA MAZINGIRA YATOLEWA KWA WANAFUNZI WA SHULE YA SEKONDARI MWIBARA

    June 04, 2025
  • ZIARA YA MKUU WA WILAYA YA KUTEMBELEA NA KUKAGUA MIRADI YA MAENDELEO

    June 03, 2025
  • ELIMU IENDELEE KUTOLEWA KWA VIJANA RIKA BALEHE.

    May 31, 2025
  • WAUGUZI KATIKA HALMASHAURI YA WILAYA YA BUNDA WATAKIWA KUFANYA KAZI KWA WELEDI

    May 30, 2025
  • Angalia zote

Video

Mvamizi wa eneo la soko.
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Baraza la Madiwani
  • Dira na Dhamira
  • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
  • Mpango Mkakati
  • Mpango wa Uwekezaji Sekta ya Samaki
  • Muundo wa Taasisi
  • OPRAS - Form

Viunganishi Muambata

  • Matokeo ya Darasa la Saba 2023 Bundadc
  • Matokeo ya darasa la saba
  • Matokeo ya darasa la saba
  • PO-RALG
  • PO-PSM
  • Matokeo ya Kidato cha Nne 2019

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Wasiliana Nasi

    Kibara Stoo.

    Anuani ya Posta: 126, Bunda

    Simu: 0282621055

    Hamishika:

    Barua Pepe: ded@bundadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Haki Miliki@ 2017 Halmashauri ya Wilaya ya Bunda