• Malalamiko |
    • Maswali |
    • Barua Pepe |
Bunda District Council
Bunda District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais - Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Bunda

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Kilimo, Umwagiliaji & Ushirika
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Maji
      • Fedha & Biashara
      • Ujenzi
      • Afya
      • Mifugo & Uvuvi
      • Elimu Sekondari
      • Rasilimali Watu
      • Maendeleo ya Jamii
      • Usafi & Mazingira
      • Elimu Msingi
      • Ardhi na Maliasili
    • Vitengo
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Ufugaji Nyuki
      • Uchaguzi
      • Manunuzi
  • Huduma Zetu
    • Maji
    • Elimu Msingi
    • Barabara
    • Mifugo
    • Afya
    • Mazao ya kilimo
  • Fursa za Uwekezaji
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha, Uongozi & Mipango
      • Elimu, Afya & Maji
      • AIDS Control
      • Maadili
    • Ratiba
  • Miradi
    • Itakayotekelezwa
    • Inayoendelea
    • Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taarifa
    • Sheria Ndogo
    • Fomu Mbalimbali
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Uma
    • Video
    • Hifadhi ya Picha
    • Habari
    • Matukio

ZAIDI YA MILIONI 300 ZA POKELEWA KATIKA UTEKELEZAJI WA MRADI WA KUHIMILI ATHARI ZA MABADILIKO YA TABIA NCHI

Posted on: June 9th, 2025


Timu ya usimamizi na utekelezaji wa mradi wa kuhimili athari za mabadiliko ya Tabianchi (BCRAP) , imekaa kikao siku ya tarehe 9/6/2025 ikiwa na lengo la kuwasilisha mpangokazi na kujadili namna ya utekelezaji kwa awamu nyingine ya pili.

Mratibu wa mradi Ndugu Johaness Bucha ambaye alikuwa Mwenyekiti wa kikao hicho aliwakaribisha wajumbe wote wanaosimamia na kutekeleza mradi huo ambapo alisema lengo kuu la kuitisha kikao hiki Leo ni kutambulisha mapokezi ya fedha kiasi cha Tshs Million 316 ambazo tumezipokea kwa ajili ya utekelezaji wa mradi kwa kipindi cha awamu ya pili.

Ndugu Bucha aliwataka wajumbe wanaosimamia mradi katika sekta mbalimbali kuhakikisha wanawasilisha mpangokazi wake na kuona ni kwa namna Gani wataenda kutekeleza mradi huo, ambapo wajumbe waliwasilisha mpango kazi katika sekta ya ufugaji, kilimo, uvuvi, maji, wajumbe walijadili kwa kina Kila sekta jinsi itakavyoenda kutekeleza sekta yake kwa kuwataka kuhakikisha wanawafuatilia kwa ukaribu Kila kikundi kuhakikisha wanatekeleza sawa na lengo la mradi lilivyoelekeza ili kuweza kuleta tija kwao na jamii nzima.

" Elimu kwa vikundi ambavyo ni wanufaika wa mradi wa BCRAP iendelee kutolewa ikiwemo usimamizi na utekelezaji wa miradi hiyo, kuhakikisha vikundi vinapewa elimu ya kutosha ya namna ya kutunza akiba kwa kuhakikisha wanakuwa na akaunti katika benki ili ziweze kuwasaidia baade, na sio fedha wanazopata waishie kugawana zote pasipo kuweka akiba ili waweze kuendelea kujiendeleza na kujisimamia wenyewe." Alisisitiza Mratibu.

Aidha, ufuatiliaji wa Mara kwa mara katika vikundi ufanyike ili kuona na kuhakikisha kama wanazingatia mafunzo waliyopewa katika uendelezaji wa miradi yao, wanatekeleza kama walivyoelekezwa na wataalamu.

Pia, Mratibu alishauri kuwepo na ziara ya kuvitembelea vikundi vyote ambavyo viliundwa katika awamu ya kwanza, kuona na kutambua changamoto ambazo wamepitia katika utekelezaji wa mradi kwa awamu ya kwanza na kuwasaidia ili waweze kuendelea kutekeleza na kuendeleza mradi kwa kipindi cha awamu ya pili.

Mradi wa kuhimili athari za mabadliko ya tabianchi, ni mradi unaosimamiwa na kutekelezwa na Halmashauri ya Wilaya ya Bunda, unafadhiliwa na mfuko wa mazingira wa dunia (Adaptation Fund) chini ya usimamizi wa baraza la Taifa la usimamizi na uhifadhi wa mazingira (NEMC).


16m



See translation













Matangazo

  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI June 23, 2025
  • TANGAZO LA MIKOPO September 26, 2024
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI September 18, 2024
  • TANGAZO KWA WATUMISHI WOTE December 20, 2024
  • Angalia zote

Habari Mpya

  • ZIARA YA MKURUGENZI MTENDAJI YA KUTEMBELEA NA KUKAGUA MAENDELEO YA UJENZI KATIKA HOSPITALI YA WILAYA

    June 27, 2025
  • BONANZA LA MICHEZO LA WATUMISHI KATI YA HALMASHAURI YA WILAYA YA RORYA, BUNDA DC NA TC

    June 16, 2025
  • MRATIBU WA MRADI WA BCRAP ATAJA VIPAUMBELE VITAKAVYOENDA KUTEKLELEZWA KWA AWAMU YA PILI YA MRADI

    June 11, 2025
  • ZAIDI YA MILIONI 300 ZA POKELEWA KATIKA UTEKELEZAJI WA MRADI WA KUHIMILI ATHARI ZA MABADILIKO YA TABIA NCHI

    June 09, 2025
  • Angalia zote

Video

Mvamizi wa eneo la soko.
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Baraza la Madiwani
  • Dira na Dhamira
  • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
  • Mpango Mkakati
  • Mpango wa Uwekezaji Sekta ya Samaki
  • Muundo wa Taasisi
  • OPRAS - Form

Viunganishi Muambata

  • Matokeo ya Darasa la Saba 2023 Bundadc
  • Matokeo ya darasa la saba
  • Matokeo ya darasa la saba
  • PO-RALG
  • PO-PSM
  • Matokeo ya Kidato cha Nne 2019

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Wasiliana Nasi

    Kibara Stoo.

    Anuani ya Posta: 126, Bunda

    Simu: 0282621055

    Hamishika:

    Barua Pepe: ded@bundadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Haki Miliki@ 2017 Halmashauri ya Wilaya ya Bunda