• Malalamiko |
    • Maswali |
    • Barua Pepe |
Bunda District Council
Bunda District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais - Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Bunda

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Kilimo, Umwagiliaji & Ushirika
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Maji
      • Fedha & Biashara
      • Ujenzi
      • Afya
      • Mifugo & Uvuvi
      • Elimu Sekondari
      • Rasilimali Watu
      • Maendeleo ya Jamii
      • Usafi & Mazingira
      • Elimu Msingi
      • Ardhi na Maliasili
    • Vitengo
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Ufugaji Nyuki
      • Uchaguzi
      • Manunuzi
  • Huduma Zetu
    • Maji
    • Elimu Msingi
    • Barabara
    • Mifugo
    • Afya
    • Mazao ya kilimo
  • Fursa za Uwekezaji
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha, Uongozi & Mipango
      • Elimu, Afya & Maji
      • AIDS Control
      • Maadili
    • Ratiba
  • Miradi
    • Itakayotekelezwa
    • Inayoendelea
    • Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taarifa
    • Sheria Ndogo
    • Fomu Mbalimbali
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Uma
    • Video
    • Hifadhi ya Picha
    • Habari
    • Matukio

KIKAO CHA TATHIMINI YA SHUGHULI ZA LISHE KWA ROBO YA PILI KATIKA HALMASHAURI YA WILAYA YA BUNDA.

Posted on: January 20th, 2025

Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Bunda Ndugu. Oscar Jeremiah Nchemwa siku ya tarehe 20/1/2025 ameongoza kikao cha tathimini ya shughuli za lishe kwa kipindi cha robo ya pili kuanzia mwezi Oktoba hadi Desemba,2024.

Aidha Ndugu, Nchemwa amemuagiza Afisa utumishi wa Halmashauri ya Wilaya ya Bunda kusimamia na kuhakikisha vijiji vyote vinatunga sheria za lishe ili kuwahimiza wananchi kushiriki katika kuchangia chakula shuleni.

Naye, Afisa lishe wa Halmashauri ya Wilaya ya Bunda, Bi.Saumu Abdallah aliwasilisha kadi alama kwa ngazi ya Halmashauri, Kata na Chama kwa kipindi cha robo ya pili, na aliomba na kushauri jitihada ziongezeke zaidi katika  uhamasishaji wa kuchangia chakula  ili kuhakikisha wanafunzi wengi wanapata huduma ya lishe shuleni kwa kutoa elimu na kuonyesha athari za watoto kutopata lishe shuleni, ambazo zinapelekea kushuka kwa ufaulu.

“Kuna shule nyingi zinazotoa huduma ya chakula shuleni lakini ni watoto wachache wanao pata huduma hiyo”.amesema Bi.Saumu

Kwa upande wake, Mkuu wa divisheni ya Afya,ustawi wa jamii na lishe,ambaye ni katibu wa kikao cha lishe, Dkt.Hamidu Adinani alimuomba Mkurugenzi Mtendaji kutoa kipaumbele katika masuala ya lishe ili kiweze kutimiza shughuli za lishe kama zilivyo pangwa, pia, aliomba divisheni na vitengo mtambuka vinavyo shughulika na masuala ya lishe shuleni na kwenye jamii kutenga bajeti ambazo zitasaidia katika utekelezaji wa shughuli za lishe kwa kila robo kwa mwaka mzima.

Hata hivyo, wajumbe waliazimia shule zote za msingi na sekondari katika Halmashauri ya Wilaya ya Bunda kutenga mashamba kwa ajili ya kilimo.

 

Matangazo

  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI June 23, 2025
  • TANGAZO LA MIKOPO September 26, 2024
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI September 18, 2024
  • TANGAZO KWA WATUMISHI WOTE December 20, 2024
  • Angalia zote

Habari Mpya

  • ELIMU YATOLEWA KWA WAJUMBE WA MABARAZA YA KATA KATIKA HALMASHAURI YA WILAYA YA BUNDA

    July 10, 2025
  • WAWAKILISHI WA WAZEE WAKUTANA KWA AJILI YA KUSOMEWA MUONGOZO MPYA WA UANZISHWAJI WA BARAZA LA WAZEE KATIKA HALMASHAURI YA WILAYA YA BUNDA

    July 04, 2025
  • HALMASHAURI YA WILAYA YA BUNDA YATAKIWA KUTOA ELIMU KWA WAFANYABIASHARA KUHUSIANA NA UUZAJI NA UNUNUZI WA KUTUMIA STAKABADHI GHALANI

    July 02, 2025
  • ZIARA YA MKURUGENZI MTENDAJI YA KUTEMBELEA NA KUKAGUA MAENDELEO YA UJENZI KATIKA HOSPITALI YA WILAYA

    June 27, 2025
  • Angalia zote

Video

Mvamizi wa eneo la soko.
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Baraza la Madiwani
  • Dira na Dhamira
  • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
  • Mpango Mkakati
  • Mpango wa Uwekezaji Sekta ya Samaki
  • Muundo wa Taasisi
  • OPRAS - Form

Viunganishi Muambata

  • Matokeo ya Darasa la Saba 2023 Bundadc
  • Matokeo ya darasa la saba
  • Matokeo ya darasa la saba
  • PO-RALG
  • PO-PSM
  • Matokeo ya Kidato cha Nne 2019

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Wasiliana Nasi

    Kibara Stoo.

    Anuani ya Posta: 126, Bunda

    Simu: 0282621055

    Hamishika:

    Barua Pepe: ded@bundadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Haki Miliki@ 2017 Halmashauri ya Wilaya ya Bunda