• Malalamiko |
    • Maswali |
    • Barua Pepe |
Bunda District Council
Bunda District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais - Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Bunda

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Kilimo, Umwagiliaji & Ushirika
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Maji
      • Fedha & Biashara
      • Ujenzi
      • Afya
      • Mifugo & Uvuvi
      • Elimu Sekondari
      • Rasilimali Watu
      • Maendeleo ya Jamii
      • Usafi & Mazingira
      • Elimu Msingi
      • Ardhi na Maliasili
    • Vitengo
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Ufugaji Nyuki
      • Uchaguzi
      • Manunuzi
  • Huduma Zetu
    • Maji
    • Elimu Msingi
    • Barabara
    • Mifugo
    • Afya
    • Mazao ya kilimo
  • Fursa za Uwekezaji
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha, Uongozi & Mipango
      • Elimu, Afya & Maji
      • AIDS Control
      • Maadili
    • Ratiba
  • Miradi
    • Itakayotekelezwa
    • Inayoendelea
    • Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taarifa
    • Sheria Ndogo
    • Fomu Mbalimbali
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Uma
    • Video
    • Hifadhi ya Picha
    • Habari
    • Matukio

ZIARA YA TIMU YA MENEJIMENTI YA HALMASHAURI YA WILAYA YA BUNDA .

Posted on: January 17th, 2025

Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Bunda Ndugu George  S. Mbilinyi siku ya tarehe 17/1/2025, ameongoza timu nzima ya Menejimenti ya Halmashauri ya Wilaya ya Bunda kutembelea na kukagua miradi mbalimbali ya Maendeleo katika Jimbo la Bunda.

Walitembelea na kukagua ujenzi wa nyumba za watumishi zinazojengwa katika shule ya Sekondari  Mariwanda na shule ya msingi Sabasita.

Ambapo, nyumba zote hizo zipo katika hatua za ufungaji wa lenta na kupauliwa.

Timu ilitembelea na kukagua ujenzi wa shule mpya ya Sekondari  ya Amali iliyopo katika Kijiji cha Manchimweru kilichopo katika Kata ya Mihingo ambapo ujenzi wake upo katika hatua mbalimbali za msingi, pia walitembelea ujenzi wa shule ya msingi Nyansirori ambapo ujenzi wa shule mpya unaendelea na hadi sasa wapo katika hatua za ujenzi wa msingi,


Ukamilishaji wa bweni la shule ya Sekondari Mihingo na Nyamang'uta ambapo mabweni hayo yapo hatua za mwisho za ukamilishaji ili kuweza kupokea wanafunzi, pamoja na ukaguzi wa vitanda.

Pia, timu iliembelea shule ya Sekondari Chamriho na kukagua ukamilishaji wa bweni Moja la wasichana, pamoja na ujenzi wa mabweni mapya manne yanayoendelea kujengwa katika shule hiyo, huku ujenzi ukiwa katika hatua tofauti, za ujenzi.



Katika ziara hiyo, Mkurugenzi Mtendaji aliwaagiza Afisa Elimu Sekondari na msingi kuhakikisha wanawasimamia mafundi katika miradi hiyo ili kuhakikisha wanaongeza Kasi ya ujenzi na kukamilisha kwa wakati, huku akiwaagiza kuhakikisha wanamshirikisha Mhandisi wa Halmashauri ili aweze kuwasaidia katika usimamizi wa majengo ili yaweze kujengwa kwa viwango imara na kwa kufuata ramani sahihi kama inavoelekeza katika majengo hayo.

Hatahivyo, walitembelea shule ya msingi Salama A na kukagua ukamilishaji wa   vyumba vitatu vya madarasa na matundu sita ya vyoo.


Mbali na kutembelea miundombinu ya elimu, pia walitembelea na kukagua hospitali ya Wilaya iliyopo Kijiji cha Bukama, ambapo alimuagiza Mganga Mfawidhi wa Hospitali kuhakikisha wanasimamia vyema hatua za ujenzi kwa hospitali, na alimuagiza Mtendaji wa Kijiji kuhakikisha anaitisha mkutano wa Wananchi ili waweze kuchagua wajumbe wa Kamati ambao watasimamia hatua zote za ujenzi na kuhakikisha wajumbe wanapewa mafunzo ya usimamizi wa miradi na namna ya kutumia mfumo wa manunuzi NeST. 

                                       

                                                                                                              

Matangazo

  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAHILI June 04, 2025
  • TANGAZO LA MIKOPO September 26, 2024
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI September 18, 2024
  • TANGAZO KWA WATUMISHI WOTE December 20, 2024
  • Angalia zote

Habari Mpya

  • ELIMU YA UTUNZAJI NA UHIFADHI WA MAZINGIRA YATOLEWA KWA WANAFUNZI WA SHULE YA SEKONDARI MWIBARA

    June 04, 2025
  • ZIARA YA MKUU WA WILAYA YA KUTEMBELEA NA KUKAGUA MIRADI YA MAENDELEO

    June 03, 2025
  • ELIMU IENDELEE KUTOLEWA KWA VIJANA RIKA BALEHE.

    May 31, 2025
  • WAUGUZI KATIKA HALMASHAURI YA WILAYA YA BUNDA WATAKIWA KUFANYA KAZI KWA WELEDI

    May 30, 2025
  • Angalia zote

Video

Mvamizi wa eneo la soko.
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Baraza la Madiwani
  • Dira na Dhamira
  • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
  • Mpango Mkakati
  • Mpango wa Uwekezaji Sekta ya Samaki
  • Muundo wa Taasisi
  • OPRAS - Form

Viunganishi Muambata

  • Matokeo ya Darasa la Saba 2023 Bundadc
  • Matokeo ya darasa la saba
  • Matokeo ya darasa la saba
  • PO-RALG
  • PO-PSM
  • Matokeo ya Kidato cha Nne 2019

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Wasiliana Nasi

    Kibara Stoo.

    Anuani ya Posta: 126, Bunda

    Simu: 0282621055

    Hamishika:

    Barua Pepe: ded@bundadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Haki Miliki@ 2017 Halmashauri ya Wilaya ya Bunda