Mkuu wa wilaya ya Bunda Mh. Dkt Vicent Anney siku ya tarehe 2/8/2024 amepokea mwenge wa uhuru, 2024 kutoka kwa Mkuu wa Wilaya ya Butiama Mh. Moses Kaigele katika viwanja vya shule ya msingi Nyamuswa B.
Mh. Dkt Anney amesema mwenge wa uhuru katika Halmashauri ya Wilaya ya Bunda utakimbizwa Km 109, utatembelea, kukagua, na kuzindua jumla ya miradi nane ya maendeleo yenye thamani ya Tshs billion 2,312,165,470/=.
Kibara Stoo.
Anuani ya Posta: 126, Bunda
Simu: 0282621055
Hamishika: 0754335739
Barua Pepe: ded@bundadc.go.tz
Haki Miliki@ 2017 Halmashauri ya Wilaya ya Bunda