Saturday 21st, December 2024
@VIWANJA VYA NYAKABINDI
Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Bunda, anapenda kuwaalika wananchi wote kuhudhuria maonesho ya Nanenane, yanayofanyika katika viwanja vya Nyakabindi vilivyopo mkoani Simiyu, katika wilaya ya Bariadi
Lengo la maonesho haya ni kuwafundisha wananchi wote mbinu na dhana bora katika kilimo,ufugaji na uvuvi.
Wananchi wote mnakaribishwa
"CHAGUA VIONGOZI BORA WA SERIKALI ZA MITAA KWA MAENDELEO ENDELEVU YA KILIMO, MIFUGO NA UVUVI."
Kibara Stoo.
Anuani ya Posta: 126, Bunda
Simu: 0282621055
Hamishika: 0742163056
Barua Pepe: ded@bundadc.go.tz
Haki Miliki@ 2017 Halmashauri ya Wilaya ya Bunda