Wilaya ya Bunda ni moja ya Wilaya zenye mifugo mingi zaidi hapa nchini Tanzania. MIfugo hii inasaidia jamii za kifugaji kupata kipata kwa kuiuza na pia kuuza maziwa. Halmashauri inanufaika na mifugo hii kupitia ushuru wa machinjio, ushuru wa uuzaji na utambuzi wa mifugo hiyo.
Kibara Stoo.
Anuani ya Posta: 126, Bunda
Simu: 0282621055
Hamishika: 0754335739
Barua Pepe: ded@bundadc.go.tz
Haki Miliki@ 2017 Halmashauri ya Wilaya ya Bunda