Sekta ya Uvuvi inashika nafasi ya tatu katika kuchangia pato la halmashauri. Hivi sasa jamii imeelimishwa na imeanza shughuli ya ufugaji wa Samaki ndani ya Ziwa Victoria na kwenye Mabwawa ili kuzalisha samaki kwa tija na kulinda mazingira ya Ziwa na hivyo kuwapa fursa samaki wa ziwani kuzaliana.
Kibara Stoo.
Anuani ya Posta: 126, Bunda
Simu: 0282621055
Hamishika: 0754335739
Barua Pepe: ded@bundadc.go.tz
Haki Miliki@ 2017 Halmashauri ya Wilaya ya Bunda