Pamoja na kuwa kilimo cha Pamba kimeshuka sana ukilinganisha na miaka iliyopita, bado inachangia kwa kiasi kikubwa kwenye pato la halmashauri na jamii kwa ujumla hasa kupitia usindikaji unaofanywa na viwanda vya kuchambulia pamba na utengenezaji wa mafuta ya kula na malighafi zingine. Pia, kilimo cha Alizeti kimeshika kasi kwa sasa ikiwa ni pamoja na uwepo wa vinu vya kukamulia mafuta ya Alizeti na hivyo kuwapatia watu kipato.
Kibara Stoo.
Anuani ya Posta: 126, Bunda
Simu: 0282621055
Hamishika: 0754335739
Barua Pepe: ded@bundadc.go.tz
Haki Miliki@ 2017 Halmashauri ya Wilaya ya Bunda